Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,682
- 11,129
Nashukuru sana kwa hili pia. Nitazingatia hilo maana hata anaenitafitia aliniambia Ili tuwe na uhakika tunaweza kununua walio ma watoto wake.Kimanzi chana ni Mavuno Farm ni kweli anauza Galla walio pandwa na Boer tayari, 0713282715 nilishawahi weka number yao hapa wasilianeni nao wana Mbuzi viwango kweli.
Kuhusu kagera ni kweli utapata Mbuzi wazuri wanao zaa mapacha mpaka 3 hao wanaitwa Mubende, ila ningeomba nikushauri kitu ktk hao Mbuzi jitahidi sana wakutafutie amabe alisha zaa mara moja au amchukuwe ambae ana watoto wake pacha kabisa ndio inakuwa vyema na ujitahidi sana kuangalia umri maana ukimchukuwa amabae amaesha zaa sana huwa anakuja kuzaa watoto wadhaifu na wanakufa mara wazaliwapo wanakaa muda mchache.
Mubende ni Mbuzi wazuri na wastahilivu sana, nakupongeza sana kwa hilo la kuamua kuwekeza mtumainie Mungu na utafikia malengo yako ubarikiwe sana.
Pia alinishauri kuwa kama tunanunua wafogo tunaweza kuangalia wale walio zaliwa kama mapacha; sijui kwa hili unashauri nini?