Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,172
Kuna wachina wana nunua yai moja kwa shilingi 12,000/- na wanahitaji mzigo mkunwa kwa ajili ya shughuli maalum huko kwao.
Je naweza kuyapata wapi? Mwenye nayo asogee PM tuongee biashara.
Thabks and regards, Bujibuji
Acha utapeli wako. Je Hao wachina wana vibali/ruhusa ya kumiliki nyara za serikali?
Kwani katoa masharti jamani mamDenyi yeye kasema anahitaji mayai ya bundi kama ilivyo wanaohitaji mayai ya kwaleKama ni pesa za hivyo nazinipite kando.
Me ninayo ya bata vip tunaweza kufanya kitu you know bata wana katabia flani kama bundi.
Kama ni pesa za hivyo nazinipite kando.
Kuna wachina wananunua yai moja kwa shilingi 12,000/- na wanahitaji mzigo mkubwa kwa ajili ya shughuli maalum huko kwao.
Je, naweza kuyapata wapi? Mwenye nayo asogee PM tuongee biashara.
Thanks and regards, Bujibuji