Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

641075334c81d7959a765466ed27b7dc.jpg
hayo vipi...kuna mtu anahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
No mawe ya wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninayo haya, yanauzikaje?
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-31-06-36-42.jpeg
    Screenshot_2017-07-31-06-36-42.jpeg
    44.7 KB · Views: 59
Ninayo haya, yanauzikaje?
Aah haya hayauziki soko lake gumu sana,maana mpaka kuwe na ujenzi wa barabara,huchanganywa na lami kisha kimwagwa barabarani.

So unatakiwa uwe na maelfu ya tani.
 
Back
Top Bottom