Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

Uzi huu nimeupenda,watanzania bila matajiri uchwara wenye roho za ubinafsi tunaweza kutoka,angalia watu wanavyopendana na kupeana michongo utadhani ni ndugu wa familia moja,wachina wana undugu wa aina hii angalia leo hii wako wapi kiuchumi.Tuendelee kujituma tu ndugu zangu ingawa bado vikwazo vya hapa na pale vipo,nchi hii ina mali nyingi sana lakini ubinafsi wa wachache ndio unaosababisha walio wengi wateseke.

Sony Z3
 
Haya mawe yana soko sana na wateja wapo.Tatizo linakuja pale unapotoa order ya tani kadhaa,alafu wanaosema wanayo kuingia mitini ,na kukuacha ujui umjibu nini mteja.Kama kweli yupo mwenye nayo ani PM nna mteja anayataka ata ukiwa nayo tani 100
Mawe yapo wee funguka tuu, yapo hata leo ukiwa serious unaweza kupata.
 
Tazama hapa kama upo sawa njoo tuongee
a18224c6a204d1d37fa0aa07b5dedebd.jpg
6039aa54a8a665c52694f455df8cc03b.jpg
d4f881dc552c0ebb9decb5c6759ed1fb.jpg
3199021ca89595a1f6e34a0a49c0c978.jpg
 
Amathyst hayo ya blue, hayo mengine ni felspar
 
Pole sana ni kwenu lakini ina onekana hakuwa interested ndio maana haukuwa una fahamu bt haya madini yapo sana kuanzia wilaya ya chemba maeneo wanayo uza vindege kwa wingi na kuna maeneo ya ndani ndani karibia na hifadhi ya wanyama pori huko...

ukitaka kufahamu zaidi uwepo wa madini hayo tajwa hapo fika bicha uliza wakazi wa hapo ndio wata kutajia maeneo mengi mno yalipo au kupatikana madini hayo...

Haneti pia kuna patikana Mica au Ulanga na Dada yake/Mdogo wake yule prof. anna wa bukoba huko ana fanya hii biashara huko ya kupeleka USA and EU... na anapiga pesa mno kwa Ku export mica matani kwa matani

na ni mica iliyo shikana...

pia kuna maeneo ya dodoma yana copper pia red diamond... Quartz Uranium nk... nikipata mtu wa kufanya nae biashara ntaingia huko maana hile biashara ina pesa sana una weza kuitwa freemason ndani ya siku moja kama utakuwa na soko la uwakika na supply ya kutosha....
Red diamond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom