Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
Mbona Mimi Kondoa sijawahi yaona. Labda yanapatikana sehemu nyingine tofauti na kwetu
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Yapi hayo?Kaka umeshaliamsha dude kumbe hayo ya mwisho yanauzika?Kweli watanzania hatustahili kuwa masikini,na hivi ni weekend ngoja kesho niende shamba
Naona unataka kuunganishwa kwenye makinikia sasa...cant be simple like that..do you have the permits that allow you to own the stones??Kaka umeshaliamsha dude kumbe hayo ya mwisho yanauzika?Kweli watanzania hatustahili kuwa masikini,na hivi ni weekend ngoja kesho niende shamba
Yanapatikana Haneti-Itiso-YoboMbona Mimi Kondoa sijawahi yaona. Labda yanapatikana sehemu nyingine tofauti na kwetu
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Si kweli ni uzushi tu.hivi haya madini ya rubi naskia yanahusiana uchawi kiaina ni kweli?
Yap, broker license!Naona unataka kuunganishwa kwenye makinikia sasa...cant be simple like that..do you the permits that allow you to own the stones??
Picha ya mwisho kabisa
Kumbe wewe unataka nife masikini hata kama hayo mawe yako shambani kwangu?Kaka kumbe una roho mbaya sana nilikua sijui.Yote tisa kumi kama kweli hayo mawe ya mwisho kabisa kwenye picha yanauzika haki ya Mungu trip ya kwanza ntayachimba bila kibali then ndio ntafuata taratibu zinazotakiwa coz ntakua tayari niko vizuri.Naona unataka kuunganishwa kwenye makinikia sasa...cant be simple like that..do you have the permits that allow you to own the stones??
Ndio hayo ambayo umeyaweka kwenye kikaratasi
Ni ya mkoa gani?vp meusi mchongoko nayo unataka?
Namaanisha yale unakuta yamejichomeka kwenye mwamba with sharp end edges ila hayana mng'ao kiviile!
Kama unayataka niambie niende chimbo make nimeyafuma somewhere kwa wingi.
Natafuta mawe haya toka Kondoa, Haneti-Yebo. Mwenye nayo tafadhali ani PM!
View attachment 552144
View attachment 552161
View attachment 552162
View attachment 552163
View attachment 552164
View attachment 552147
Yote hapo juu natafuta,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kondoa dada haneti ni chamwino na ni milima ya yobo sio yebo, vipi kondoa upo mahali gani maana mi nipo Just hapa natupia vyomboMbona Mimi Kondoa sijawahi yaona. Labda yanapatikana sehemu nyingine tofauti na kwetu
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Pole sana ni kwenu lakini ina onekana hakuwa interested ndio maana haukuwa una fahamu bt haya madini yapo sana kuanzia wilaya ya chemba maeneo wanayo uza vindege kwa wingi na kuna maeneo ya ndani ndani karibia na hifadhi ya wanyama pori huko...Mbona Mimi Kondoa sijawahi yaona. Labda yanapatikana sehemu nyingine tofauti na kwetu
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
wenyeji wa haneti hawajihusishi nayo sana maana yanaonekana yanauzwa ukiwa na kiasi kikubwa na hakuna wachimbaji wadogo pale
unafahamu sana mkuu. nishasikia habari pale za huyo mdogo wake na TibaPole sana ni kwenu lakini ina onekana hakuwa interested ndio maana haukuwa una fahamu bt haya madini yapo sana kuanzia wilaya ya chemba maeneo wanayo uza vindege kwa wingi na kuna maeneo ya ndani ndani karibia na hifadhi ya wanyama pori huko...
ukitaka kufahamu zaidi uwepo wa madini hayo tajwa hapo fika bicha uliza wakazi wa hapo ndio wata kutajia maeneo mengi mno yalipo au kupatikana madini hayo...
Haneti pia kuna patikana Mica au Ulanga na Dada yake/Mdogo wake yule prof. anna wa bukoba huko ana fanya hii biashara huko ya kupeleka USA and EU... na anapiga pesa mno kwa Ku export mica matani kwa matani
na ni mica iliyo shikana...
pia kuna maeneo ya dodoma yana copper pia red diamond... Quartz Uranium nk... nikipata mtu wa kufanya nae biashara ntaingia huko maana hile biashara ina pesa sana una weza kuitwa freemason ndani ya siku moja kama utakuwa na soko la uwakika na supply ya kutosha....
Kumbe wewe unataka nife masikini hata kama hayo mawe yako shambani kwangu?Kaka kumbe una roho mbaya sana nilikua sijui.Yote tisa kumi kama kweli hayo mawe ya mwisho kabisa kwenye picha yanauzika haki ya Mungu trip ya kwanza ntayachimba bila kibali then ndio ntafuata taratibu zinazotakiwa coz ntakua tayari niko vizuri.