Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

unafahamu sana mkuu. nishasikia habari pale za huyo mdogo wake na Tiba

mkuu nilikuwa ktk haka kautafiti baada ya kumaliza chuo nikawa sina cha kufanya mtaani... ndipo nkamtafuta rafiki yangu mtaalamu wa geology frm UDSM tukaanza kuzurura dodoma mpka maeneo ya dongo mzee... tukapata story ya huyu dada, na alitaka wazurumu watu wengine maeneo ya madini ili achimbe yeye... bahati mbaya wale walikuwa tayari wana leseni so ikawa ngumu kwa kuwa haiwezekani kutolewa leseni mbili ktk eneo moja....

ila hii sekta kwa wasio ijua unaweza sema watu wanacheza tu ila ina pesa sana... ni kutafuta masoko kwanza pili ndipo utafute mzigo ulipo... sasa sisi tulijikuta tumepata maeneo lakini soko hatuna hapo ndipo tulipo kwama mpaka leo

pia ktk hii sekta kuzurumiana ni jambo la kawaida sana, una takiwa kuwa na roho kidikteta ndipo utakula mema ya nchi
 
IMG-20170728-WA0024.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na yeye ilikuwa rahii kuzingua kipindi kile maana dada yake alikuwa waziri wa ardhi.ila kue kuna madini sana kuna kipindi nilipita ukiwa kama unaenda zajilwa pembei kidogo ya Itiso nilikuta mtu kapeleka vifaa na ameanza kazi ila waliokuwa wanachimba (vibarua) hata hawakuwa na taarifa za kutosha
 
Rubbynuts je, unahitaji pia?
Ruby nut ya rangi gani? Km unaweza rusha picha zake?
Pole sana ni kwenu lakini ina onekana hakuwa interested ndio maana haukuwa una fahamu bt haya madini yapo sana kuanzia wilaya ya chemba maeneo wanayo uza vindege kwa wingi na kuna maeneo ya ndani ndani karibia na hifadhi ya wanyama pori huko...

ukitaka kufahamu zaidi uwepo wa madini hayo tajwa hapo fika bicha uliza wakazi wa hapo ndio wata kutajia maeneo mengi mno yalipo au kupatikana madini hayo...

Haneti pia kuna patikana Mica au Ulanga na Dada yake/Mdogo wake yule prof. anna wa bukoba huko ana fanya hii biashara huko ya kupeleka USA and EU... na anapiga pesa mno kwa Ku export mica matani kwa matani

na ni mica iliyo shikana...

pia kuna maeneo ya dodoma yana copper pia red diamond... Quartz Uranium nk... nikipata mtu wa kufanya nae biashara ntaingia huko maana hile biashara ina pesa sana una weza kuitwa freemason ndani ya siku moja kama utakuwa na soko la uwakika na supply ya kutosha....

vp meusi mchongoko nayo unataka?
Namaanisha yale unakuta yamejichomeka kwenye mwamba with sharp end edges ila hayana mng'ao kiviile!

Kama unayataka niambie niende chimbo make nimeyafuma somewhere kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaah.... usiwe na wasi hata ukiyakuta shambani kwako wewe chukua sample hata wakikukuta una loli za dhahabu haina shida kuna sheria ina ruhusu kusema upo kwenye utafiti au uchunguzi maana una weza kuchukua kibali kumbe madini yapo kilo mbili ukawa umejisumbua au sio quality au sio madini kabisa
Asante kwa ushauri!
Si unajua hivi vikazi vyakuajiliwa kampuni binafsi mishahara hazieleweki na biashara ambazo tunazifanya ili zirusukume kwasasa zinapumulia mashine.Sasa mlivyoona hayo mawe dude likaamka ghafla coz hata kama akisema kipimo chakuuzia ni tani haina shina coz kuna mbonge la mwamba ambalo nalifahamu tangu nikiwa form one,yaani nilikua likizo kubwa na ndogo nilikua naenda kuyachimba baada ya kukosa wateja ndio nikaachana nayo.Yaani sema ilikua mambo hayaeleweki coz mpaka mawe ya blue tulikutana nayo sema tu mengi yalikua yamepigwa na radi na kupasuka pasuka so tukikosa soko ndio nikaamua nikomae na shule tu
 
Pole sana ni kwenu lakini ina onekana hakuwa interested ndio maana haukuwa una fahamu bt haya madini yapo sana kuanzia wilaya ya chemba maeneo wanayo uza vindege kwa wingi na kuna maeneo ya ndani ndani karibia na hifadhi ya wanyama pori huko...

ukitaka kufahamu zaidi uwepo wa madini hayo tajwa hapo fika bicha uliza wakazi wa hapo ndio wata kutajia maeneo mengi mno yalipo au kupatikana madini hayo...

Haneti pia kuna patikana Mica au Ulanga na Dada yake/Mdogo wake yule prof. anna wa bukoba huko ana fanya hii biashara huko ya kupeleka USA and EU... na anapiga pesa mno kwa Ku export mica matani kwa matani

na ni mica iliyo shikana...

pia kuna maeneo ya dodoma yana copper pia red diamond... Quartz Uranium nk... nikipata mtu wa kufanya nae biashara ntaingia huko maana hile biashara ina pesa sana una weza kuitwa freemason ndani ya siku moja kama utakuwa na soko la uwakika na supply ya kutosha....
Safi sana kaka, naona Una data nyingi za madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom