Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

Natafuta mawe haya kutoka Kondoa

mkuu nilikuwa ktk haka kautafiti baada ya kumaliza chuo nikawa sina cha kufanya mtaani... ndipo nkamtafuta rafiki yangu mtaalamu wa geology frm UDSM tukaanza kuzurura dodoma mpka maeneo ya dongo mzee... tukapata story ya huyu dada, na alitaka wazurumu watu wengine maeneo ya madini ili achimbe yeye... bahati mbaya wale walikuwa tayari wana leseni so ikawa ngumu kwa kuwa haiwezekani kutolewa leseni mbili ktk eneo moja....

ila hii sekta kwa wasio ijua unaweza sema watu wanacheza tu ila ina pesa sana... ni kutafuta masoko kwanza pili ndipo utafute mzigo ulipo... sasa sisi tulijikuta tumepata maeneo lakini soko hatuna hapo ndipo tulipo kwama mpaka leo

pia ktk hii sekta kuzurumiana ni jambo la kawaida sana, una takiwa kuwa na roho kidikteta ndipo utakula mema ya nchi
Mkuu umenikumbusha. Dongo pale kuna wachimbaji wadogo dhahabu pia inapatkana. Eneo lile lote lina madini aina mbalimbali ...kuanzia Itiso, Segala, vuka milima ile mpaka Dongo teremka mpaka Zajilwa. Maenek ya Haneti na Kondoa yote inamadini sana. Laini pia Hombolo kuna kilima kina madini sana hasa hayo ya bluu...ni ya kukusanya tu na chepe hata bila kuchimba sana

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
haya mawe yapo Haneti, fika kijijini hapo wenyeji watakupeleka Mlima wa Mashariki utakuta wauzaji kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna mlima hnamadini yote hayo ...huo mlima unaitwa MLIMA WA KINYAMI ni mlima uliokaliwa na watu wa jamii ya Mang'ati na Wairaq (Wambulu). Huu mlima upo Hombolo na ranges zake zime extend kwenye vijiji vya Mkondahi, Mgonangh'olongo, Msisi na Maseya. Ni mlima ambao unautajiri mkubwa mno

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
  • Thanks
Reactions: EEX

Attachments

  • IMAG0641.jpg
    IMAG0641.jpg
    218.6 KB · Views: 58
Feldspar bei yake? Unayo black tinted pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Felsper black yenye tinted kg1 7000 mpk 8000 Kuna wakati inavuka zaidi ya 10000/
Ila felsper nyeusi kabisa ile kama tajiri la gari kg 1 NI 10000/ na zaidi
Ngoja nkuwekee felsper za Same zinazotoka ktk mbuga ya mkomazi hzi nlikuwa nauzaga mpaka 15000/ Sema kupata hko NI Issue maana pale NI game reserve hawaruhusu kuchimbaa

Ova
 
Feldsper rangi ya karot hii ila zipo felsper zingine rangi imeiva zaidi ya hii!

Ova
 

Attachments

  • IMAG0643.jpg
    IMAG0643.jpg
    251.2 KB · Views: 60
Feldsper hizi NI za Same,toka mkomazi felsper za Same NI tofauti na za moro na handeni na kwengineko

Ova
 

Attachments

  • IMAG0645.jpg
    IMAG0645.jpg
    261.4 KB · Views: 53
Hizi saphire nut NI za kilosa kama za kwako hapo Sema hzi zinatoka kwenye sensa....
Ktk picha zako hiyo ya 5 saphire hzo zinatoka kwenye mwamba....

Ova
 

Attachments

  • IMAG0640.jpg
    IMAG0640.jpg
    154.5 KB · Views: 59
cb8c4ab88ede8ddbf0e546a83a8ca19e.jpg


Niko Mpwapwa, nambie kama dizaini hii ya mawe unaitaka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe gani hilo na yanapatikana kiasi gani?
Felsper black yenye tinted kg1 7000 mpk 8000 Kuna wakati inavuka zaidi ya 10000/
Ila felsper nyeusi kabisa ile kama tajiri la gari kg 1 NI 10000/ na zaidi
Ngoja nkuwekee felsper za Same zinazotoka ktk mbuga ya mkomazi hzi nlikuwa nauzaga mpaka 15000/ Sema kupata hko NI Issue maana pale NI game reserve hawaruhusu kuchimbaa

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom