4ncymelody
Member
- Apr 5, 2017
- 17
- 3
Mimi ni kijana wa miaka 20 kiumri...nipo kidato cha sita na ninategemea kuhitimu mwezi wa tano..nikiwa ninasubiria matokeo yangu ningependa kujihusisha na huduma za kujitolea kwa ajili ya jamii..kama kuna anayefahamu mashirika yanayohusika na volunteers naomba aniunganishe..