Uko pande zipi?Location imenikosesha rafiki wa kiume!
Uko pande zipi?
Mkuu daudi anatafuta marafiki pia usijali cheki naeInauma kuwa hii location ila ndio hivyo sina namna...niko kwa Daudi bhana
Naww 18Inauma kuwa hii location ila ndio hivyo sina namna...niko kwa Daudi bhana
Uko wapi na mimi nitafute rafiki wa kike wa sehemu uliyopo.Location imenikosesha rafiki wa kiume!
Mkuu daudi anatafuta marafiki pia usijali cheki nae
Mimi niko hapa hapa location yakoLocation imenikosesha rafiki wa kiume!
Naww 18
"Ndege wafananao huruka pamoja"
Daudi akiwa rafiki yangu huo msemo utakuwa valid kwangu
Siwezi kutake riskKuna kunyonyea tabia mkuu either umbadili awe kama wewe au wewe uwe kama yeye mkuu
Mh? Hapo pagumu mkuu au I naenda kwa jiwe na yeye siyupo hapo ulipo naamini atakuwa anaitaji marafikiSiwezi kutake risk
Nikinyonya zake je?
Mh? Hapo pagumu mkuu au I naenda kwa jiwe na yeye siyupo hapo ulipo naamini atakuwa anaitaji marafiki
Kwann mkuuJiwe??over my dead body!
Kwann mkuu kwa.hayo.mambo yan umrii kweliHuu umri unanikosesha vingi sana
Mie mkubwa mkuuKwann mkuu kwa.hayo.mambo yan umrii kweli
Jitoe mhanga bhana mkuu
Mkuu ukubwa siyo tija kama kutakuwa na busara na hekima mkuuMie mkubwa mkuu