Natafuta marafiki wakike

Wewe na Mods nani mwenye akili, hii JF ina sheria zake kama unaona bado nipo huku sipewi Ban basi jua sijavunja sheria.

Na nitazidi kukusumbua sana kumba unakaa humu kuona nafanya nini! Mjinga wa Akili wewe.
Huwez kunisumbua hata siku moja , nimejaribu kukupa ushauri nilidhani wew unautoto tu lakini nimegundua unamatatizo ya kudumu na hii ndio comment yangu ya mwisho kukuhusu wew , siwezi kukupa muda wangu mtu kama wewe unisumbue kwa lipi you need to grow up.
 
Usihangaike kupoteza muda kutoa ushauri kwa mtu anayejua nini anafanya.

Wapuuzi kama nyie hamuishi kwa mafundi kila wiki kushona suruali za vitambaa.
 
Habri wanajf mm nikijana wa miaka 25 natafuta marafiki wakike waliotayari katika kushauriana kuwasiliana na kusaidiana awe na umri kuanzia 19 hadi 23
Mkuu umepata hao marafiki wangapi? Maana mi Niko kuwavizia saivi nmepata wanne kupitia Uzi wako
 
Wewe na Mods nani mwenye akili, hii JF ina sheria zake kama unaona bado nipo huku sipewi Ban basi jua sijavunja sheria.

Na nitazidi kukusumbua sana kumbe unakaa humu kuona nafanya nini! Mjinga wa Akili wewe.
Big up sana mkuu,binafsi naona katika coment zako nyingi huwa hukusudii vile ambavyo jamaa anakutafsiri kabisa.

Labda tu jamaa katafsiri vibaya nadhani mfahamishe tu mkuu sisi wengine mbona tunakuona mtu poa tu
 
Nikweli ila uwez jua wanabifu lao LA pmben
 
Hapan kwann
Hio picha inatoa maelezo mengi mkuu

Anyway humu tunatumia id fake hata picha zetu ni fake huoni kama kuna sku itakuumbua hio picha kwa vitu utavyoweza ku post

Sikushauri sna kutumia ur real picture but uamuzi ni wako kaka

Enjoy........
 
Asante nmekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom