Aaah wacha masihara mkuu wapi kuna mlio nije kukata vein au anzisha duara ntapata wafadhili tu๐๐jitahidi kabla mlio haujanyamaza mkuu...
Aaah wacha masihara mkuu wapi kuna mlio nije kukata vein au anzisha duara ntapata wafadhili tu๐๐jitahidi kabla mlio haujanyamaza mkuu...
hahahaha aisee wewe umeshaasi kambi mkuu....mchimbaji unapaswa kuwa maskio juu juu hata usiku wa manane mlio ukiitika tu....ni kupapasa tochi iko wapi ponji mfukoni nyundo na moko vitapatikana mbele ya safari..Aaah wacha masihara mkuu wapi kuna mlio nije kukata vein au anzisha duara ntapata wafadhili tu๐๐
Hhaahah ila si kila mlio ni wa kuitika,mingine ni ya kuchoma nauli tuhahahaha aisee wewe umeshaasi kambi mkuu....mchimbaji unapaswa kuwa maskio juu juu hata usiku wa manane mlio ukiitika tu....ni kupapasa tochi iko wapi ponji mfukoni nyundo na moko vitapatikana mbele ya safari..
๐๐๐๐Hivi kuna jinsia zaidi ya kike au ya kiume?! Ujumbe uko sawa ila sikujua maana ya kuweka jinsia, uliishasema wafanyabiashara au wapo wasio na jinsia?!
mkuu bila kuingia front mwenyewe utafanikiwa kwa tabu sana....sijui lkn ngoja tuone..Mwenye marudio yanayosoma ppm kwanzia 4 yasiwe na sulphur au copper Zaid ya ppm2000 per tan
Anitafute
haha kweli kabisa...mlio tani moja inasoma point negative..Hhaahah ila si kila mlio ni wa kuitika,mingine ni ya kuchoma nauli tu
Nko survey mkuu pori to porimkuu bila kuingia front mwenyewe utafanikiwa kwa tabu sana....sijui lkn ngoja tuone..
kweli kabisa unapenda yanayoanza PPM ngapi mkuu naweza kushauri..Nko survey mkuu pori to pori
Hali imebadilika Sana siku izi
Watu wanatengeneza marudio ya ovyo Sana
Napima kupoteze hela tuu
oooh sorry aisee sikuwa nmezingatia post yako ya pale juu mkuu...tuwasiliane PM..kweli kabisa unapenda yanayoanza PPM ngapi mkuu naweza kushauri..
Ppm ianzie ata 2 Kama hamna changamoto yoyote kubwakweli kabisa unapenda yanayoanza PPM ngapi mkuu naweza kushauri..
tutawasiliana boss wangu....Ppm ianzie ata 2 Kama hamna changamoto yoyote kubwa
Mfano umbali ulipo udongo na plant ilipo
Changamoto ya sulphur na copper
Hhahahahh Hardrock never lie, ntatuma tu A/c no, najua pesa ya mawe ilivyo na kibur hasa kwa mchimbaji๐๐tutawasiliana boss wangu....
Tchaot sisi ndo tunapotea hivyo.......tukitoka illusion unitumie namba ya ac nikuongezee mtaji wa nyanya hahahahaa..
hahahaahaha mkuu wachimbaji wana kiburi kuliko korea kaskazini....hujapata kumskia jamaa alihila akaenda kahama akanunua bati 100 halafu akakusanya wasukuma matoroli wote wa mjini kila mmoja akapewa bati moja abebe hahaha....ati madai yake anatoa sadaka kila mtu apate rizki....siunajua tunavyojua kuact tuna roho nzuri mkuu..Hhahahahh Hardrock never lie, ntatuma tu A/c no, najua pesa ya mawe ilivyo na kibur hasa kwa mchimbaji๐๐
Hhahaha wachimbaji wanaviburi sana, usishangae mtu akishayaona mawe unaitwa we dogo njoo piga karai hapa halafu yy anakusimamia kwa karbu na bia mkononi ๐ ๐ ๐hahahaahaha mkuu wachimbaji wana kiburi kuliko korea kaskazini....hujapata kumskia jamaa alihila akaenda kahama akanunua bati 100 halafu akakusanya wasukuma matoroli wote wa mjini kila mmoja akapewa bati moja abebe hahaha....ati madai yake anatoa sadaka kila mtu apate rizki....siunajua tunavyojua kuact tuna roho nzuri mkuu..
hahhaha halafu anakuuliza sh ngapi itakutosha..Hhahaha wachimbaji wanaviburi sana, usishangae mtu akishayaona mawe unaitwa we dogo njoo piga karai hapa halafu yy anakusimamia kwa karbu na bia mkononi ๐ ๐ ๐
Hhahaha na akisha kulipa akwambia unaskia dogo uwe na nidhamu unaskia eehh, mm sio wa kuporora kijinga jinga ๐ ๐hahhaha halafu anakuuliza sh ngapi itakutosha..
na wanachowaza wao ni kununua kuluga (kluger) tuuu....utaiskia hiyo ina ngapi?!..
yani bei gani hahahaa..
hahahahahaaa ulitaka unichomereshe ili niperreee..Hhahaha na akisha kulipa akwambia unaskia dogo uwe na nidhamu unaskia eehh, mm sio wa kuporora kijinga jinga ๐ ๐
Asante Sista Manengelo kwa uzi huu wengine umetupa hamasa na kumbukizi nzur na mbaya pia, natumai ulishawapata wafanyabiashara lengwa
Haahahh acha kaka tumejuana wapiga boya na mabosi wetu piahahahahahaaa ulitaka unichomereshe ili niperreee..
hiyo ni kwa wahusika wa kanda maalum waliookotwa nyamongo huko...
daah sana kaka kauzi kamesaidia sana tumejuana wapiga boya..