Natafuta marafiki Arusha

Natafuta marafiki Arusha

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
1,053
Reaction score
915
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.
 
ahaa.................aaah basi tena me nipo Mbeya.utawapata tu dada
 
Mmmh! Ningekaribia lakini kama moyo unasita vile... Anyway karibu sana na kila la kheri...!!
 
Ningekuwa Arusha,ningekuwa rafiki yako,sasa niko huku.........mwe!mbali
 
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.

Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
 
me nipo mianzini karibu sana a cty kwani we upo maeneo gani
 
hao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana
 
Hao ni chamtoto mwanangu! Tupo fluu na tuna upendo utafikiri tumezaliwa wote mama mmoja baba mmoja. Kama vipi karibu (PM) UKO HURU BEST.
 
Aaai rafiki karibu me nipo hapa chuga pande flani za ungalimited
 
Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
Duuuuh mkuu umeadimika vibaya mno, poa mgeni keshafika nadhani tutamfatuta ili alijue jiji.
 
Hao ni chamtoto mwanangu! Tupo fluu na tuna upendo utafikiri tumezaliwa wote mama mmoja baba mmoja. Kama vipi karibu (PM) UKO HURU BEST.
Arusha one vibaya hivyo kumbe siku zote upo hapa hatujuani jamani! Mmmmmh haya na wewe karibu umoja w JF Arusha huko ndiko mambo iliko.
 
me nipo mianzini karibu sana a cty kwani we upo maeneo gani
Yaani nashindwa kuamini jinsi wanaJF wa Arusha tulivyo wengi lakini hatujuani. Tutafutane jamani isiishie tu jukwaani, twende mbali zaidi keyboard.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom