Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

Vipi unaenda kuchinja!!!?
Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko bize...yaan inshort a very quite place ambao hamna watu wengi kabisa
Asanteni
 
Wakuuu any updates..maana demu anataka nikamle maana mume wake kaxafir
Ohoo mke wngu baba huyo , na nimemuekea tego sasa usije kulia na mm baadae haki ya nani

Nakuja kusepa na vyombo vyako vya harusi hivyo
 
Tatizo ya hi lodge ni vitanda..vinapiga kelele sana utadhan upo gereji cha pili hii lodge haina silingbodi...sasa sijui kijana atapaweza ila pametulia sana
pako maeneo gni mkuu nielekeze
 
Tatizo ya hi lodge ni vitanda..vinapiga kelele sana utadhan upo gereji cha pili hii lodge haina silingbodi...sasa sijui kijana atapaweza ila pametulia sana
Siku hizi kuna lodge mpya karibu na Mdawi inaitwa Prideinn beach lodge, ipo poa sana na bei zake kama Mdawi
 
Huyo mchepuko wako atakuwa na wadau wengi. So jaribu kumuuliza lodge anayopenda mwende .. Usidhangae ukimwabia hizo za kigamboni akakataa kwenda. Atakuwa kawekeza kwa wadau wengi.

Usisahau CONDOM na Utubu daana ya hapo.. Maana hata wewe ni mme wa mtu.
Ntatumia rough rider
 
Huu uzi nimecheka sanaa Sana!

Kuna mjinga mmoja kaniacha hoi eti " tom**neni kwa kuwa hamjui saa wala dakika ya kunyakuliwa"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna watu wana maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko bize...yaan inshort a very quite place ambao hamna watu wengi kabisa
Asanteni

Umepata goma la kula kimasihara ni ni....ila hapa haitakuwa siri tena...coz umeshautangazia uma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom