Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko bize...yaan inshort a very quite place ambao hamna watu wengi kabisa
Asanteni
Asanteni