Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

Natafuta lodge iliyojificha maeneo ya Kigamboni

Yah mtoto anaogopa mitaa ya karibu
Huyo mchepuko wako atakuwa na wadau wengi. So jaribu kumuuliza lodge anayopenda mwende .. Usidhangae ukimwabia hizo za kigamboni akakataa kwenda. Atakuwa kawekeza kwa wadau wengi.

Usisahau CONDOM na Utubu daana ya hapo.. Maana hata wewe ni mme wa mtu.
 
Wakuu habarini...naombeni kama kuna mtu anafahamu lodge yoyote nzuri na classic iliyojificha maeneo ya kigamboni anitajie na kunielekeza. nahitaji lodge ambayo inakua kwenye mtaa ambao hauko bize...yaan inshort a very quite place ambao hamna watu wengi kabisa
Asanteni
Tayari ushabeba mke wa mtu wewe! Na mtakaponasana uje utupe taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom