Natafuta loan kama 5m

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakuu,

Nina shida na kama 5m nahitaji loan ASAP will pay back in two installments in two months najua kuna wanaotoa huduma hii (sio bank) kama unamfahamu mtu wa kunisaidia please PM me
 
currency gani kiongozi? maana Yahya Bado yupo mjini.
 
Rehani inategemeana na mtoa mkopo lakini naweza weka gari au hata hati ya kiwanja

Unaweza kuweka rehani ya gari lisilopungua thamani ya 10m? Uko tayari kwa riba ya 20% (sio mwanamuziki lakini) but kwa repayment moja after 30 days?
 
Hayo masharti ndo niliyo nayo pia..ukikubali, niPM ninazo mfukoni now,tshs5m.
 
Nenda Pride Kariakoo utapata mkopo na muda wa kutosha kurudisha na riba juu. Mambo ya kuweka gari nk ni njia rahisi ya kupokonywa gari na kusababisha usiweze kuzitumia vizuri pesa utakayokopa - nended leaders club (jirani) uone magari ya watu yaliyokamatwa na wenyewe wameyasahau kutokana na ukapa
 
Pride utaratibu/masharti yako vipi na riba ni kiasi gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom