Natafuta kubebwa UDSM

Apollo tulia,kama una fedha nenda mtaani,la punguza kasi husije juta.

Kwetu ni hapahapa Dar, sina kasi saana. Ila serious nahitaji sana. Last year nilishindwa kupata room main campus, i hope this time nitajitahidi kupata. Thanks kwa ushauri mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hao wanao ponda! Hii ishu! Ni wajinga! Kwanza cdhany kama wamefyka hata chuo! Ni maboya tuh! Then hady ulaya wanabebana! Then unajfanya unahelaaaa! Mshamba tu wew uliyeponda!

hivi we una akili timamu kwel unafananisha udsm na vyuo vya ULAYA et ULAYA nao wanabebana ka ninyi ucjidanganye kaka wazungu hawajafulia kiac icho cha wanafunzi 8 kulala chumba 1 hadi wengine wanalala chini na juu ya chaga za vitanda .Tambua wazungu wanajal afya zao hasa sehemu ya kulala na sio hapo udsm bora m2 ujiegeshe ucku uishe.
 

Mkuu. Kwa matter of fact hujaelezea vyema. Huwezi kuniambia wazungu huko nje hawabebani kwa probability uliyonayo kwamba hawajawahi na hawatawahi. Still argument yako hainishawishi.

Pia nina ishahidi wa baadhi ya vyuo nje wanabebana. Sema ungesema kwa kigezo cha baadhi ya vyuo. Sio kujumuisha.
 

ulaya wanabebana tena kama udsm,,masela kibao na skype nao wamebebana kama magunia,we unaebisha unafkr et wazungu wanaweza kila ki2?? KAOGE
 

wee jamaa haunazo sio siri,kwani ulaya ndo nini mpaka wasibebane?
mpka ulaya wanabebana kama udsm tuu
 
Acheni kupenda mitelemko vijana ambaye yuko serious na kweli anataka room ani PM...
N.B sio kubebwa.

mkuu nimeshakuPM nifanyie mchakato basi nipate uhakika sehem ya kuuweka ubavu wangu,hata kwa kununua mimi niko tayari.
shukurani.
 
Ndugu zangu. Naomba atakayepata chumba campus anibebe nitalipia semester zote na pesa ya kubebwa. Au aniuzie chumba nitanunua.
Natanguliza shukrani.

Apollo vp umepata wa kukubeba?
 
Me Nishapata dogo wa kunibeba...
 
Mmh, we labda ulisimuliwa hakuna bei kama hiyo udsm!
 
mkuu nimeshakuPM nifanyie mchakato basi nipate uhakika sehem ya kuuweka ubavu wangu,hata kwa kununua mimi niko tayari.
shukurani.
Kuwa makini bro. Huyo jamaa ametapeli watu kuna watu nasikia sasa hivi wanalia. Wametoa hela halafu Aris hawajapata.
 
Ngoja tuwatafutie mpunga, ila sio case! Vimbweta vimeongezwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…