Natafuta kiwanja nje ya jiji la Dar

candygrapez

Member
Jul 21, 2009
12
2
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.
 
Chukua no yangu 0716 099463 nipigie utapata bagamoyo kama upo serious hata kesho
 
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.

Aliyekwmbia Kiluvya kuna mashamba bila shaka alikuwa anatania, kule kuna viwanja/vishamba. Kupata eka saba kwa eneo la kiluvya inabidi kumvua mtu kwa pesa nene mkuu. Je mipango miji ya Kiluvya inajulikana? Kununua ardhi kubwa karibu na dar bila kujua mipango miji unaweza kupata bp ujanani. Nimeku-pm kwa taarifa zaidi.
 
Kuna mashamba hadi heka 100 bei chee na unalipa kidogo kidogo cha msingi uwe na uwezo wa kukiendeleza japo kidogo kuridhisha uongozi wa kijiji. Mimi nilikua nazo ila nikahama Dar basi kijiji wakamuuzia mtu mwingine. Piga namba 0755 527164 atakusaidia.
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
Kuna mashamba hadi heka 100 bei chee na unalipa kidogo kidogo cha msingi uwe na uwezo wa kukiendeleza japo kidogo kuridhisha uongozi wa kijiji. Mimi nilikua nazo ila nikahama Dar basi kijiji wakamuuzia mtu mwingine. Piga namba 0755 527164 atakusaidia.

Wapi huko mkuu na bei Chee ndio sh ngapi? Si mbaya tukijua kabla ya kupiga simu
 
Ni vigumu kupata eneo kubwa kiasi huko kiluvya labda kwa kuungaunga lkn utakygharimu sana. Sogea nje kidogo kibaha,mlandizi,ruvu au kisarawe na mkuranga.
Bei ya mashamba maeneo haya ni kuanzia Tsh. 350,000 kwa ekari na kuendelea na bei inaweza kupungua ukiweza kuongea vzt
 
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.

kama upo serious ni call 0755371297
 
nina shamba ekari 10 lipo bagamoyo kulangwa kutoka barabarani ni kama km 5. bei kwa ekari moja ni sh. 1,500,000/=. maongezi yapo
kama utahitaji ni pigie 0755371297 na
0714753579
 
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.k
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.
Nina hekari 20 hoyoyo,mkuranga.Maji ya kuchimba na umeme upo,km 3.5 from main road.Lipo along Mkuranga-Kisarawe road.
0754 856277.
 
Back
Top Bottom