Natafuta kiwanja nje ya jiji la Dar

Nina viwanja mbezi luis mita 25 kwa 30. Bei kuanzia mil 4 umeme upo km 3 kutoka morogoro rd wengi nimeshawauzia.0713686329
 
Wapi huko mkuu na bei Chee ndio sh ngapi? Si mbaya tukijua kabla ya kupiga simu

Ni vigumu kupata eneo kubwa kiasi huko kiluvya labda kwa kuungaunga lkn utakygharimu sana. Sogea nje kidogo kibaha,mlandizi,ruvu au kisarawe na mkuranga.
Bei ya mashamba maeneo haya ni kuanzia Tsh. 350,000 kwa ekari na kuendelea na bei inaweza kupungua ukiweza kuongea vzt

Lina ukubwa gan?
 
Ruvu kuna ekari zaidi ya 1000, bei ni Tshs. 350,000/acre
Kama unataka nione tu mkuu
 
kuna kiwanja Kongowe ya Dar, lilikuwa shamba vikauzwa vipande vya kujenga, kama unainterest tuwasiliane tu, bei maelewano. piga 0753820584
 
kuna kiwanja Kongowe ya Dar, lilikuwa shamba vikauzwa vipande vya kujenga, kama unainterest tuwasiliane tu, bei maelewano. piga 0753820584

Kaka taja bei na ukubwa ili tujijue kama tupo au hatupo na umbali toka road na je ina hat au ina nn?
 
Back
Top Bottom