A.Abdon
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 217
- 38
Wadau wa humu ndani hodi hodi
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 sina mke wa mtoto.Tatizo langu kubwa sins kibarua cha kunipatia kipato kwa sasa.Nina elimu ya degree ya Social Science .Kwa yeyote mwenye Upendo nahitaji anilink au anisaidie nipate kibarua hakika nimeapply sana but nahitwa kwa interview cpati ajira sijui kwanini.
Nimejaribu kufanya bishara mambo hayaendi mara mbili biashara imekata najaribu kuomba kazi now napo kimya.Right now am broke na hata Pesa ya kuendesha maisha yangu ni shida pambo la nilipopanga linaisha this month hakika no majanga sijui tatizo langu nini hakika moyo waniuma sana ndugu zangu.
Nachoweza sema nahitaji msaada wenu wa halo wa Mali nipate ajira wadau nami nikae poa. Nitashukuru kama yoyote atanisaidia katika hili.please pm me kwa more talk na kma umeguswa.
Nawasilisha.