Natafuta kibarua

Natafuta kibarua

rolla Simu ukiandika kitu inakuja na neno ambalo inafikiri ndilo ulilotaka kuandika.Kama nitakuwa Nimekosea kuandika am sorry.
 
Last edited by a moderator:
ndugu kwanza pole ila mi ningekushauri vumilia ucikate tamaa ktk biashara kwani biashara hupanda na kushuka kubali kukabiliana na changamoto na ucipende faida ya mda mfupi biashara ni pole pole
 
Kiongozi unaweza fanya kazi za migodini, ingawa Tanzania ya leo sio unachokisomea ndio unaweza kufanyia kazi
 
Why not mdau Salih nipe details ya hiyo kazi itasound poa.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mkuu mno,
Mungu ni wa rehema sana...........

Lakini nikuhakikishie mleta mada tatizo lipo na we mwenyewe

Huu uandishi hausadifu mtu aliye na degree hata kidogo.....

Jaribu kutokua na pupa unapoandika CV, na unapojibu maswali kwenye Intavyuu...

Mkuu rekebisha hapo kwanza, then mwambie Mungu, ",ULINISOMESHA ZAIDI YA MIAKA 16, SASA NAHITAJI KAZI BABA"......

Huu mwaka hautakwisha mkuu, niamini mimi...
 
Gautama siunajua stress zinafanya hadi naandika kimakosa au kukosea herufi au neno zima.Pia sio kwamba katika interview zote nilizowai kuitwa sijawai pata kazi zipo nilizowaipata but ni contract job.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.Uwe na usiku mwema.
 
Wadau samahani kwa uandishi mbaya si mnajua kwa hizi smartphone kunakitu kinaitwa spell checker unandika neno yenyewe inakuletea neno tofauti wewe umadhani umeandika poa kumbe majanga .Mbarikiwe wadau ngoja niondoe hii kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom