Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

sipendi hii tabia. Sipendi kabisa utasababisha JF ifungee na tcra kwa sababu nitamuua huyo member.
Afu nshakumbuka nitakupata dawa ya kunasiana tuone utakavyoaibika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri usiopungua miaka25.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education"

Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka

Kazi kuu inayonifaa ni
a. Kulea watoto
Nina ujuzi wa kutosha kulea watoto kielimu...kimaadili na kimwili pia. Watoto wako watafurahi kushinda nami kipindi hiki cha likizo
b. Usafi
Kufua nguo Za watoto...kupiga Deki nk
Niko kama machine kwani nimekulia kwenye familia ya watu wengi

Kazi nisizoweza kufanya:

Kumpikia Mume wa mtu Kama nitapata kwenye familia ya Mke na Mume.. Hiyo ni kazi ya mke

Kufua nguo za mume wa mtu

Ikiwa nitapata mwajiri mume ama Mke Asiye na mwenza hizo kazi naweza kufanya!!

Ratiba
Nina uwezo wa kufika saa kumi na mbili asubuhi na kuanza taratibu za kazi mpka saa kumi na mbili jioni
.Kila siku kasoro jumapili na siku nitazokuwa naenda kwa interview.

Malipo:
Elfu hamsini kwa wiki.

Uaminifu
Asilimia Mia...
Mahali ninapoishi
Dar es salaam pembezoni kidogo na mji

Nb
Wengine mtanipa ushauri nianzishe tuition nishaanzisha
Imekufa Wazazi huku uswazi wagumu kutoa pesa na watoto hawapendi kusoma.
Mitumba viatu nimeuza yaani nimetembeza door to door... Mtaji umekufa.
Ahsanteni.
Aliye tayari anipm
Acha kudhalilisha ualimu ...degree yenyewe huna mpuuzii kama huna cha kupost nenda fb..wee nakujua ..chuo gani?? Umemelizia..masomo gani?? Umesomea..unafurahisha umma tuu
 
Unajua nini as Man thinkenth so he is!! Hayo yalikuropoka ndivyo ulivyo!!! Hizo degree nimezidharirisha wapi!! Lini mtaacha kufikiri ukifanya kazi flani unajidharirisha!? Kwa hiyo nikakaaa bila kazi yeyote huku najiproud nina degree sidhaririki!! That's dogma my friend!!!
Kama haumini I have degree waulize waliochukua no!!
 
BorA na ww umeligundua hili, hyu kaamua Kuleta jokes kuwahadaa graduate
Huyo graduate atakayehadaika na bandiko langu bila kuchekecha akili zake Na kupima uthubutu wake atakuwa kagradute makaratasi!! Hivi graduate ahadaike na maneno yangu? Be optimistic!
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri usiopungua miaka25.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education"

Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka

Kazi kuu inayonifaa ni
a. Kulea watoto
Nina ujuzi wa kutosha kulea watoto kielimu...kimaadili na kimwili pia. Watoto wako watafurahi kushinda nami kipindi hiki cha likizo
b. Usafi
Kufua nguo Za watoto...kupiga Deki nk
Niko kama machine kwani nimekulia kwenye familia ya watu wengi

Kazi nisizoweza kufanya:

Kumpikia Mume wa mtu Kama nitapata kwenye familia ya Mke na Mume.. Hiyo ni kazi ya mke

Kufua nguo za mume wa mtu

Ikiwa nitapata mwajiri mume ama Mke Asiye na mwenza hizo kazi naweza kufanya!!

Ratiba
Nina uwezo wa kufika saa kumi na mbili asubuhi na kuanza taratibu za kazi mpka saa kumi na mbili jioni
.Kila siku kasoro jumapili na siku nitazokuwa naenda kwa interview.

Malipo:
Elfu hamsini kwa wiki.

Uaminifu
Asilimia Mia...
Mahali ninapoishi
Dar es salaam pembezoni kidogo na mji

Nb
Wengine mtanipa ushauri nianzishe tuition nishaanzisha
Imekufa Wazazi huku uswazi wagumu kutoa pesa na watoto hawapendi kusoma.
Mitumba viatu nimeuza yaani nimetembeza door to door... Mtaji umekufa.
Ahsanteni.
Aliye tayari anipm
Bado hujapata? Kazi tofauti na hiyo, saa 1 mpaka saa 1, na 7,000/= kwa siku unaweza?
 
Unajua nini as Man thinkenth so he is!! Hayo yalikuropoka ndivyo ulivyo!!! Hizo degree nimezidharirisha wapi!! Lini mtaacha kufikiri ukifanya kazi flani unajidharirisha!? Kwa hiyo nikakaaa bila kazi yeyote huku najiproud nina degree sidhaririki!! That's dogma my friend!!!
Kama haumini I have degree waulize waliochukua no!!
Chuo gani..?? Hiyo degree na masomo ganii???...sema hadharan ...hakuna degree ya bure hapa bongo
 
Unajua nilikuwa nimesahau kwamba ulinijibu kwanza uko chuo!!!Unajua mtu akiwa chuo anaona kila kitu rahisi.Haswaa ukipanda ngazi na kushuka hapo chuoni...Kopo la maji mkononi halikukauki kama upo hapo UDSM... Na Kama uko Hall Six.. Zile lift zaweza kusahaulisha hata ulipotoka yaani..Ukikaa pale TBS ukiwa wapunga upepo ukitazama vibinti vinavyokatiza unajua Ndoto zako zimetimia Paap!! Kwa mchanganuo huo utajua nimesoma chuo gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom