Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

Unajua nilikuwa nimesahau kwamba ulinijibu kwanza uko chuo!!!Unajua mtu akiwa chuo anaona kila kitu rahisi.Haswaa ukipanda ngazi na kushuka hapo chuoni...Kopo la maji mkononi halikukauki kama upo hapo UDSM... Na Kama uko Hall Six.. Zile lift zaweza kusahaulisha hata ulipotoka yaani..Ukikaa pale TBS ukiwa wapunga upepo ukitazama vibinti vinavyokatiza unajua Ndoto zako zimetimia Paap!! Kwa mchanganuo huo utajua nimesoma chuo gani
Dada wewe unajitambua. Kuna kijana mmoja alipohitimu Shahada yake aliamua kuendesha boda boda. Watu walikuwa wanamcheka sana eti Msomi mzima unaendeshaje boda boda. Leo hii ninavyokwambia kapata kazi ni Bosi kwenye Shirika fulani la Kimataifa na yupo nje ya nchi. Jamaa zake waliokuwa wanamcheka bado wapo wanazurura na bahasha za khaki posta pale.
Kiukweli bahati nzuri tu mimi nina mfanyakazi ambaye yupo vizuri sana otherwise ungenifaa sana. Nakutakia kila la heri.

Ujumbe: Zama hizi sio za kuchagua kazi, hasa kwa wale wanaotoka shule sasa hivi. Wako watu hapa watakubeza wakati kwa siku hawaingizi hata 100.
Kila la heri
 
Ahsante
 
Ajira imekuwa ngumu sana aisee kama mambo ndio haya. Kuna kazi moja ikimature ntakutafuta nikuajiri. I hope unaweza kutuma Computer (MS Word & Excel) na unaweza kudraft reports. All the best kwenye interviews zako.
Mkuu siku zote nakuombea sana, kuna miongozo flani ulinipatia hapa jukwaani na mpaka sasa ugali wangu napata kupitia miongozo hiyo........ sometimes any day ntakujaga kutoa shukrani
 
Kwa haraka haraka nimegundua kuwa huyu mtu ni m-babaishaji na lengo lake kuweka hii thread ni kuwananga wasomi na waalimu waliomtaani ambao bado hakijaeleweka, so ameamua kwa makusudi kufurahisha kijiwe, hvyo natangaza wazi kuwa mpuuzeni.
kweli kabisa kuna mahala kataja alikua kwenye
interview za utumishi.... mwl wapi na wapi na interview za utumishi
 
Kweli kabisa maana kuna sehemu kadai alikua kwenye inter

iew za utumishi.... mwl wapi na wapi na interview za utumishi
Ndyo maana nimekwambia Sijaweka kwa Urefu...ikiwa hauamini kwa kifupi utaamini kwa kirefu?Na aliyekwambia walimu hawafanyi utumishi Nani? Kuna admission officer... Tutorial assistant... Lecturers.. Hall warden... Examination officers and coordinator....wacha kukariri
 
Unajua nilikuwa nimesahau kwamba ulinijibu kwanza uko chuo!!!Unajua mtu akiwa chuo anaona kila kitu rahisi.Haswaa ukipanda ngazi na kushuka hapo chuoni...Kopo la maji mkononi halikukauki kama upo hapo UDSM... Na Kama uko Hall Six.. Zile lift zaweza kusahaulisha hata ulipotoka yaani..Ukikaa pale TBS ukiwa wapunga upepo ukitazama vibinti vinavyokatiza unajua Ndoto zako zimetimia Paap!! Kwa mchanganuo huo utajua nimesoma chuo gani
Point of correction, Hall six hakuna lift.
Lift ziko hall two na hall five.

Nakuombea kwa Mungu akufanyie wepesi, nami ni alumni mwenzio japo kitambo kidogo.

Naamini iko siku maisha yako ya Sasa yatakua historia, huko unakopitia tulipita pia, niliwahi kua saidia fundi (ujenzi).

Mungu yupo anakupata darasa la maisha kua mvumilivu.
 
Ahsante kwa kunitia moyo.. . Nilimaanisha five Itakuwa maana six lips karibu Na seven..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom