Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

Kama unajua uko serious karibu, nitoe tu tahadhari kwamba mimi CV yako nitaipekela sehemu husika na kwasababu wahusika wananijua naamini hawataitupa. Utahitaji kuwa mvumilivu na kumuomba Mungu ili waione kwa jicho la pekee usije ukanianzishia thread siku moja kwamba nilikuwa muhongo.
Hapana siwezi fanya hvyo
 
BerniceF,
Nakutania mwaya wala usiwe na wasiwasi,cha msingi usikate tamaa ipo siku yako tuu mambo yako yatanyooka!!.....Karibia kila mtu amepitia hali kama ya kwako cha msingi usikate tamaa mwaya!
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri usiopungua miaka25.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education"

Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka

Kazi kuu inayonifaa ni
a. Kulea watoto
Nina ujuzi wa kutosha kulea watoto kielimu...kimaadili na kimwili pia. Watoto wako watafurahi kushinda nami kipindi hiki cha likizo
b. Usafi
Kufua nguo Za watoto...kupiga Deki nk
Niko kama machine kwani nimekulia kwenye familia ya watu wengi

Kazi nisizoweza kufanya:

Kumpikia Mume wa mtu Kama nitapata kwenye familia ya Mke na Mume.. Hiyo ni kazi ya mke

Kufua nguo za mume wa mtu

Ikiwa nitapata mwajiri mume ama Mke Asiye na mwenza hizo kazi naweza kufanya!!

Ratiba
Nina uwezo wa kufika saa kumi na mbili asubuhi na kuanza taratibu za kazi mpka saa kumi na mbili jioni
.Kila siku kasoro jumapili na siku nitazokuwa naenda kwa interview.

Malipo:
Elfu hamsini kwa wiki.

Uaminifu
Asilimia Mia...
Mahali ninapoishi
Dar es salaam pembezoni kidogo na mji

Nb
Wengine mtanipa ushauri nianzishe tuition nishaanzisha
Imekufa Wazazi huku uswazi wagumu kutoa pesa na watoto hawapendi kusoma.
Mitumba viatu nimeuza yaani nimetembeza door to door... Mtaji umekufa.
Ahsanteni.
Aliye tayari anipm
Kwa huu muda unaosubiri ajira, unaonaje nikikuoa kwa mkataba mpaka siku utakapopata ajira yako na mkataba uishie hapo?! Ntakulipa laki kwa wiki.
 
Nahitaji wadada kama wa5 hivi sijui nitawapata vipi nataka niwape kazi na niko mwanza na kazi itakuwa mwanza.
 
Kama unajua uko serious karibu, nitoe tu tahadhari kwamba mimi CV yako nitaipekela sehemu husika na kwasababu wahusika wananijua naamini hawataitupa. Utahitaji kuwa mvumilivu na kumuomba Mungu ili waione kwa jicho la pekee usije ukanianzishia thread siku moja kwamba nilikuwa muhongo.
Ha ha haaaa. ,,typing error mkuu au kweli umemaanisha Sospeter?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom