Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

Ha ha ha. Hapana bwana.
Hapo nilitania tu.
Ila utume namba yako pm nitakuwa nakucheki mara moja moja tigo pesa.
Au sio?
Mimi ni mwaminifu na sina chembe yoyote ya ubaya.
Inna ni shahidi
Usijali...Naogopa hela za bure hautanidai? haahhaha
 
Takwimu hizo hizo zinaonyesha watu wengi hawana ajira. gvt haijaajiri kwa miaka 2. private uchumi umeyumba na the competition is very high. unategemea nini?
Him inahitaji analysis bila siasa!Siku nikikuona and kwa ana ndotoni tutalijadili hill kwa mapana. Kumbuka tutaonana
 
Dah....Si bure... Kuna mtu anatakiwa macumbushow[emoji41] [emoji87]
 
Kwa haraka haraka nimegundua kuwa huyu mtu ni m-babaishaji na lengo lake kuweka hii thread ni kuwananga wasomi na waalimu waliomtaani ambao bado hakijaeleweka, so ameamua kwa makusudi kufurahisha kijiwe, hvyo natangaza wazi kuwa mpuuzeni.
 
Sikuzuii kuamini unachoamini!Pia usilazimishe watu waamini unachoamini. Aje mtu ambaye nimewasilina naye akaona dalili hizo unazosema.
 
Kwa haraka haraka nimegundua kuwa huyu mtu ni m-babaishaji na lengo lake kuweka hii thread ni kuwananga wasomi na waalimu waliomtaani ambao bado hakijaeleweka, so ameamua kwa makusudi kufurahisha kijiwe, hvyo natangaza wazi kuwa mpuuzeni.
Jua nimewwka kwa ufupi tuu ningewwka yote ndyo usingeamini kabisa!!
 
Kwa haraka haraka nimegundua kuwa huyu mtu ni m-babaishaji na lengo lake kuweka hii thread ni kuwananga wasomi na waalimu waliomtaani ambao bado hakijaeleweka, so ameamua kwa makusudi kufurahisha kijiwe, hvyo natangaza wazi kuwa mpuuzeni.
Dah.... Ndiyo maana nikasema hii ndiyo mbinu mpya ya hawa vijana....[emoji87] [emoji41] [emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom