Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

Mimi nipo peke yangu, kiukweli sipendi kula mahotelini, nilikuwa nahitaji mdada wa kunipikia na kufua na usafi.
Njoo PM dada tukubaliane bei
 
Takwimu zinaonyesha watu wameajiriwa wengi sana, wewe ulikuwa waapi?
 
duh kweli vyuma vimekaza na grease amna, degree holder kawa maid
 
Unaishi wapi!!? Mie niko na mwanangu mdogo wa miaka mi3, japo hapa home pia kuna watoto wa sister zangu na kaka yangu baadhi wanaishi hapa wengine huwa wanakuja kudeka kwa bibi yao na kusepa.
 
Natumia nafasi hii kuwashukuru mlionitia moyo..mlionishauri..Mungu hawabariki. Kwa wale ambao sijawajibu pm zao nilikuwa busy na interview za utumishi za siku ya Leo..Mnisamehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom