kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Naomba kama utaweza uni pm , halafu uje uniletee CV yako naweza kukusaidia kama Mungu atafungua milango ya Rehema ukapata walau kazi ya mkataba wa miezi 3 mitatu, kwenye taasisi za umma. Hata kama hutapata mwaka huu ila ni vzr CV yako ikawepo tu