Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

ni pm namba yako, ila kwa sasa nipo huku ku Paris kwenye French open (tennis) fainali ya mwisho ni kesho Jpili, lakini mercredi (J5) nitakuwa ndani ya Bongo tukufu.

Usijali ukirudi Tz unitafute.
 
Watu bwana kwani kiswahili hamuelewi?kasema mgane (mwanaume alifefiwa na mkewe) na amesema asizidi miaka 50 ndo maana watoto wanazidi kufeli.kweli mwaya Madame B bachelor wasumbufu sana.halafu ongeza dau form six angalau uanzie 150,000
 
Last edited by a moderator:
kuna mama mjane ana miaka sabini na tano. Anahitaji housegirl na mshahara kwa mwezi ni laki moja. Uko tayari au we unahitiji kazi ya kulea wagane tu?

Dr Kingu, sihitaji kulea wajane.
Nahitaji wagane tu.
 
Last edited by a moderator:
Watu bwana kwani kiswahili hamuelewi?kasema mgane (mwanaume alifefiwa na mkewe) na amesema asizidi miaka 50 ndo maana watoto wanazidi kufeli.kweli mwaya Madame B bachelor wasumbufu sana.halafu ongeza dau form six angalau uanzie 150,000

Hahaha mrembo Cynthia Chriss, yaani pamoja na kuwawekea maelezo yaliyojitosheleza, lakini bado hawaelewi.
Dau ataongeza mwenyewe kwa maana huduma zangu za Ulezi ni Bab K.
 
Last edited by a moderator:
Sihitaji Penzi.
Nahitaji Pesa.
Pesa zako za masimango nimezichoka TUKUTUKU.
Heri nifanye kazi ili kujiongezea kipato.
Nataka kuanzisha kampuni kubwa ambayo wewe mpenzi wangu utakuwa mkurugenzi mtendaji!utaanzia mshahara wa milioni nne kwa mwezi,unaonaje wazo langu mpenzi?
 
Back
Top Bottom