Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

we si ulifumaniwa juzijuzi hapa ama nimekufananisha?
Madame B,

Unajua nilikurupuka usingizini nilipofungua JF nikaona jina la Passion Lady

So niliyoandika nilikua nakulenga wewe kumbe mawenge ya usingizi yalinipeleka kuandiaka jina la Passion Lady kwa kuwa ninamdai hela zangu nilizomtolea dhamana na nililala nikiwa na wazo hilo jana usiku

Swits unajua tumepita katika mawimbi mazito.Hatutaachana kamwe.Majungu ya akina Chimbuvu, Bishanga na Remote si mchezo...lakini tuli-survive

CC: Wanaotaka tu-break up

CC:Mbea uliyempelekea Madame B taarifa

CC: Passion Lady(ilibidi nitumie mbinu kali kujinasua maana Madame B ainishtukia)
 
Shark nakuuliza kwa mara ya mwisho?
Bado unanitaka?

Nakutaka bana, nikisema sikutaki hua nataniaga tu mpenzi.
Kwanza Passion Lady mwenyewe tayari ana wenyewe.

Pia Ruttashobolwa ananitishia kunifungulia mashitaka chini ya kifungu cha pili cha makosa ya kuibia watu mke under penal code act No1 ya mwaka 1962 iliyopitiwa upya mwaka 1984
 
Last edited by a moderator:

@we Shark yaani Madame B ni spea tairi in case Passion Lady anakudengulia? Aisee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom