Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,200
- 5,553
Rais Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za KujitoleaMimi ni kijana,,umri wangu miaka 25 nimehitimu stashahada ya kilimo na mifugo(Diploma in general agriculture) 2016
Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya taaluma yangu au kazi yoyote halali
Nina ozoefu wa miezi 6 kazini kama afisa kilimo msaidizi(field practical maeneo ya mbeya na rungwe).
Natanguliza shukran,,napatikana kwa number 0766852884 nipo Dodoma,mpwapwa
Ikiwezekana hata kwa kujitolea nipate ozoefu,,,mungu awabariki