mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
Kalime ww, nguvu unazo jiongeza
Jamani una diploma ya kilimo hlf unatafuta kuajiliwa.? Cooome on hebu katafute shamba bwanaMimi ni muhitimu Wa stashahada ya kilimo na mifugo mwaka 2016 natafuta kazi kulingana na taaluma niliyo somea,,umri wangu miaka 25 napatikana Dodoma,,
Naomba kwa yeyote anisaidie kupata kazi hata kwenye mashirika binafsi,miradi ya kilimo na mifugo,,taasisi za utafiti wa mazao na wadudu,,natanguliza shukrani kama ntasaidiwa mtaani kugumu sana!!!
Usipanic chukua hatuaIlo shamba linaokotwa kama embe nin
Mimi ni muhitimu Wa stashahada ya kilimo na mifugo mwaka 2016 natafuta kazi kulingana na taaluma niliyo somea,,umri wangu miaka 25 napatikana Dodoma,,
Naomba kwa yeyote anisaidie kupata kazi hata kwenye mashirika binafsi,miradi ya kilimo na mifugo,,taasisi za utafiti wa mazao na wadudu,,natanguliza shukrani kama ntasaidiwa mtaani kugumu sana!!!
Kazi popote,,ndio niko teyari
Dat is nonsense. Tatizo vijana hwapendi kuumiza kichwa. Apo utakuta kapost hili andiko kwa smartphone ya lakitatu. Lakini kwa kilimo cha tz hata kama una elfu 30000 unaweza aza kilimo na ukamake wonders. Wengi vijana wanakimbilia kilimo kikubwa bila experience. Hata kama umesoma kilimo ila bado huna experience. Think big but start small, get experience and diversify. Hapa ndipo vjana wa kikenya wanapotuacha mbaliAkili ndogo mkiwa Form six ndo mnafikiria hivi kwa Kijana wa Kimasikini aliyesoma kwa kutegemea Loan Board akimaliza na Kuanza kuhangaika ajira ni Sawa kabisa kilimo kipi atakifanya hapo atanunua na nini mbegu bora kila anayevuna pesa nzuri alianza kuajiliwa ukishapokea mishahara yako kadhaa ndo unafungua biashara. So si aibu kwa mdau hapo kutafuta kazi ila kama unataka kilimo cha kula tuu mwenyewe unaweza kufanya ila kilimo cha tija kinahitaji Pesa nyingi.
kk vp kwa nn usijiajiri ww mwenyewe kwa kuzalisha mazao mbalimbali kwakuwa umesomea kilimo na mashamba Tanzania yapo yakutosha?
Watu wanamawazo ila ww una matatizo.