Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

donpier91

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
440
Reaction score
370
Mimi ni kijana,,umri wangu miaka 25 nimehitimu stashahada ya kilimo na mifugo(Diploma in general agriculture) 2016

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya taaluma yangu au kazi yoyote halali

Nina ozoefu wa miezi 6 kazini kama afisa kilimo msaidizi(field practical maeneo ya mbeya na rungwe).

Natanguliza shukran,,napatikana kwa number 0766852884 nipo Dodoma,mpwapwa

Ikiwezekana hata kwa kujitolea nipate ozoefu,,,mungu awabariki
 
Tuwasiliane mkuu nikuajiri kwenye kabanda kangu ka kuku jalafu niko karibu na bonde utajilimia mboga mboga kama hutajali
 
Una shahada ya kilimo na unataka kutumikishwa? Duh aisee kweli elimu haijakukomboa buraza. Jipange!
Akili ndogo mkiwa Form six ndo mnafikiria hivi kwa Kijana wa Kimasikini aliyesoma kwa kutegemea Loan Board akimaliza na Kuanza kuhangaika ajira ni Sawa kabisa kilimo kipi atakifanya hapo atanunua na nini mbegu bora kila anayevuna pesa nzuri alianza kuajiliwa ukishapokea mishahara yako kadhaa ndo unafungua biashara. So si aibu kwa mdau hapo kutafuta kazi ila kama unataka kilimo cha kula tuu mwenyewe unaweza kufanya ila kilimo cha tija kinahitaji Pesa nyingi.
 
wakuu wa mikoa wanafedha nyingi tu za miradi mbalimbali,andika proposal yako nenda direct kwa RUGIMBANA HAPO DODOMA. ATAKUPA MSAADA.
n.b..
unganeni muwe japo 5-10.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
kama ni mtoto wa masikini na mkopo umepewa ukaacha kufocus mbele, ukakimbilia kununua sabufa na smart phone badala kununua au kuweka mtaji wa mbegu na kuanza kulima lazima tutegemee haya yanayotokea. MUNGU UTUHURUMIE
 
Mkopo Wa kutoka wapi kaka diploma ya kilimo hakuna mkopo
 
kk vp kwa nn usijiajiri ww mwenyewe kwa kuzalisha mazao mbalimbali kwakuwa umesomea kilimo na mashamba Tanzania yapo yakutosha?
Kilimo biashara lazima uwe na mtaji Wa kutosha ili ufanye kilimo chenye tija sio kwa kutegemea jembe la mkono,,asante kwa kushiriki
 
Akili ndogo mkiwa Form six ndo mnafikiria hivi kwa Kijana wa Kimasikini aliyesoma kwa kutegemea Loan Board akimaliza na Kuanza kuhangaika ajira ni Sawa kabisa kilimo kipi atakifanya hapo atanunua na nini mbegu bora kila anayevuna pesa nzuri alianza kuajiliwa ukishapokea mishahara yako kadhaa ndo unafungua biashara. So si aibu kwa mdau hapo kutafuta kazi ila kama unataka kilimo cha kula tuu mwenyewe unaweza kufanya ila kilimo cha tija kinahitaji Pesa nyingi.
Asante sana kaka kwa kunisaidia kuwaelewesha watu wanajua kuwa na ardhi na taaluma ya kilimo unaweza kujiajiri[emoji122] [emoji122]
 
h

Huyo hajakusaidia kakuuwa kimtazamo endelea kusikiliza waliofeli, wakati wenzio wanaanza from 0. unawaza mtaji ni pesa tu? mtaji wa kweli ni ww mwenyewe kwanza.
 
Back
Top Bottom