Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

kama ni mtoto wa masikini na mkopo umepewa ukaacha kufocus mbele, ukakimbilia kununua sabufa na smart phone badala kununua au kuweka mtaji wa mbegu na kuanza kulima lazima tutegemee haya yanayotokea. MUNGU UTUHURUMIE
jaman kama wewe ni mtoto wa maskini ni vigumu kutunza pesa ya mkopo na uje kuitumia kama mtaji chukulia unatoka tabora upo udsm unaishi hostel kwa siku asubuhi chai ya 500 mchana wali maharage 1000 na usiku wali maharage 1000
utahitaji uingie mtandaoni kutafta reference vocha 500 maji kwa siku 1200 nauli kwenda na kurudi 8000 jumla elfu tana hivyo kwa siku unasave 3000 kwa siku unazo kaa chuoni ni 240 hivyo unasave laki 7200000. utalipa hostel 180000 nauli ya kwenda nyumbani mara nne kwa mwaka 1200000 michango isiyohusika na boom kama 100000 nguo sabuni na vitu vidogovidogo labda 10000 kwa mahesabu tu hayo ya kawaida unaona kabisa inabaki 220000 na mwaka mmja una siku 360 na loan bord inahesabu 240 ninazobakia ndo hiyo 220000 inaweza kukusaidia cause huwezi tena kumtegemea mzazi na pia wadogo zako utawanunulia hata nguo ya shule je sasa mtaji utautoa wapi kwa njia ya boom jaman?
 
unatafuta kazi au shamba.. kama upo moro ntumie namba yako tujiajri mashamba yapo uje tulime. elimu yako sio ya ofisini hiyo wewe unaujuzi unatakiwa uufanyie kazi
 
unatafuta kazi au shamba.. kama upo moro ntumie namba yako tujiajri mashamba yapo uje tulime. elimu yako sio ya ofisini hiyo wewe unaujuzi unatakiwa uufanyie kazi
Mkuu niunge na mm hapo....nataka kujiajiri tupeane ujuzi...nakuPM
 
Du huku kwetu mvua sinasumbua kweli kweli ila karibu kama utaweza kugeuza Jangwa likawa shamba ndiyo kazi iliyopo!!!! ¡!!! ¡!
 
Hamna MTU hasopenda kujiajili karne hii tatizo lenu mmekalilishwa neno hilo unadhan kuwekeza kwenye jembe LA mkono unaweza kutoka angalia watu wote walio wekeza kwenye kilimo. Huwez kuwekeza kwenye kilimo unategemea kula hapo kujikim mahitaji yako yote kisa umelima labda kama unalima pesa lakin sio mimea inayo badilika kutokan na climate change
 
Mimi ni kijana,,umri wangu miaka 25 nimehitimu stashahada ya kilimo na mifugo(Diploma in general agriculture) 2016

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya taaluma yangu au kazi yoyote halali

Nina ozoefu wa miezi 6 kazini kama afisa kilimo msaidizi(field practical maeneo ya mbeya na rungwe).

Natanguliza shukran,,napatikana kwa number 0766852884 nipo Dodoma,mpwapwa

Ikiwezekana hata kwa kujitolea nipate ozoefu,,,mungu awabariki

Haha Kuna mtoa mada katoka kuwasema wasomi wa aina yako.any way jaribu hata kuangalia fursa za kujiajili
 
Mimi ni kijana,,umri wangu miaka 25 nimehitimu stashahada ya kilimo na mifugo(Diploma in general agriculture) 2016

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya taaluma yangu au kazi yoyote halali

Nina ozoefu wa miezi 6 kazini kama afisa kilimo msaidizi(field practical maeneo ya mbeya na rungwe).

Natanguliza shukran,,napatikana kwa number 0766852884 nipo Dodoma,mpwapwa

Ikiwezekana hata kwa kujitolea nipate ozoefu,,,mungu awabariki
Check out this job at Monsanto Company: https://www.linkedin.com/jobs2/view/343697769
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom