donpier91
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 440
- 370
- Thread starter
- #21
Sio rahisi ka unavyochuchukulia me nimeomba msada Wa kupata kazi baada ya apo ndo ntakuwa na uwezo Wa kuanzisha miradi ila kwa saiv siwez kakah
Huyo hajakusaidia kakuuwa kimtazamo endelea kusikiliza waliofeli, wakati wenzio wanaanza from 0. unawaza mtaji ni pesa tu? mtaji wa kweli ni ww mwenyewe kwanza.