Natafuta nafasi ya kazi supermarket

Mary Swaibu

New Member
Mar 15, 2024
1
2
Habari jamani,

Naitwa Maria Swaibu naishi Dar es Salaam Tanzania, nina umri miaka 25 nahitaji kupata nafasi ya kazi katika supermarket au maduka makubwa elimu yangu nimemaliza diploma miaka miwili course ya Community Development.

Nimepita pia mafunzo ya muda mfupi ya Global Mult Practical Skills natanguliza shukran za dhati baada ya kulifanikisha hilo, nahitaji msaada wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom