Natafuta kazi, Nina Diploma ya Kilimo

Mimi ni kijana,,umri wangu miaka 25 nimehitimu stashahada ya kilimo na mifugo(Diploma in general agriculture) 2016

Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya taaluma yangu au kazi yoyote halali

Nina ozoefu wa miezi 6 kazini kama afisa kilimo msaidizi(field practical maeneo ya mbeya na rungwe).

Natanguliza shukran,,napatikana kwa number 0766852884 nipo Dodoma,mpwapwa


Ikiwezekana hata kwa kujitolea nipate ozoefu,,,mungu awabariki
Rais Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea
 
Hamna MTU hasopenda kujiajili karne hii tatizo lenu mmekalilishwa neno hilo unadhan kuwekeza kwenye jembe LA mkono unaweza kutoka angalia watu wote walio wekeza kwenye kilimo. Huwez kuwekeza kwenye kilimo unategemea kula hapo kujikim mahitaji yako yote kisa umelima labda kama unalima pesa lakin sio mimea inayo badilika kutokan na climate change
Waloajiriwa wengi ndio wanaotusisitiza tusio na ajira tujiajir
 
Nitafute tukalime mahindi kiteto usimamie shamba tukivuna unapata parecent zako kilimo kinaanza mwezi wa Tisa maandalizi .Maxungumzo yatakuwepo kabla kazi haijaanza
 
Huwa sielewi kabisaaaa et msomi wa kaliba yako tena ya kilimo nawe unabeba bahasha unasaka kazi?????ardhi yote tuliyo nayi umeshindwa kufanya kilimo kwa kutumia taaluma yako?dah we ungekua NK kwa kiduku adhabu ingekua mbayaaa sanaaaa
 
Huwa sielewi kabisaaaa et msomi wa kaliba yako tena ya kilimo nawe unabeba bahasha unasaka kazi?????ardhi yote tuliyo nayi umeshindwa kufanya kilimo kwa kutumia taaluma yako?dah we ungekua NK kwa kiduku adhabu ingekua mbayaaa sanaaaa
Usilaumu kitu usichokijua!!
 
Jk kainvest kwenye kilimo tofaut na unavyoniambia mim nikajiajiri naanzia wap?

Hivi wanaojiajiri unafikiri wanaoteshwa? Kuuliza kujiajiri unaanzia wapi inaonesha ni namna gani hauko matured wenzio wanawaza usiku na mchana mpaka wanabuni nini cha kufanya na wanapata majibu halafu we unauliza uanzie wapi pole sana pengine wewe bado ni mtoto,ungeniambia capital hauna ila unachakufanya ningekuelewa
 
Mleta mada unasikitisha sana.
Yaani Umezaliwa Tanzania, Unaishi Tanzania, umesoma na kupata Diploma ya Kilimo Tanzania, halafu unakuja humu unaomba mtu akuajiri kwenye Kilimo!!
Are you mental retarded?

Nilitegemea uje hapa na mambo haya...
1/Unatafuta vijana wenye mitaji yao ya Fedha, Ardhi na Vifaa vya Kilimo ili mpige kazi na kuvuna mamilioni kupitia Kilimo AU

2/Unatafuta fursa ya
kupata mkopo wa kwenda kuwekeza kwenye Kilimo cha kisasa AU

3/Unatangaza taasisi(Kampuni) yako ambayo inafanya Consultation za mambo kilimo na Mifugo.
 
Akili ndogo mkiwa Form six ndo mnafikiria hivi kwa Kijana wa Kimasikini aliyesoma kwa kutegemea Loan Board akimaliza na Kuanza kuhangaika ajira ni Sawa kabisa kilimo kipi atakifanya hapo atanunua na nini mbegu bora kila anayevuna pesa nzuri alianza kuajiliwa ukishapokea mishahara yako kadhaa ndo unafungua biashara. So si aibu kwa mdau hapo kutafuta kazi ila kama unataka kilimo cha kula tuu mwenyewe unaweza kufanya ila kilimo cha tija kinahitaji Pesa nyingi.
Best comment
 
Wabongo bwana mna "collective thinking" za ovyo sana.

Hivi mnafikiri kujiajiri ni kama kwenda chooni tu kuwa yeyote anaweza kufanya ehee?

Muda mwingine unaweza ukawa na ideas kibao za entrepreneurship lakini mpaka zina expire hujazifanyia kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom