Mzee Mambo
Member
- Jun 21, 2021
- 29
- 18
Asante kwa ushauri mkuu. Nitajaribu InshaAllahHizi za mabasi ungeingia ofisini kwao omba hata kujitolea hawatokuacha after 2 month
Asante Mkuu.Mkuu kwanza hongera kwa kuamua kupambana na kukataa kulelewa kwa namna yoyote ile..,
Aidha, kwa kuwa umeamua kufanya kazi yoyote, basi swala la Elimu liwe ni Sifa ya ziada ili uwape Wadau wigo mpana kwa kuzingatia kuwa "connection" moja huzaa nyingine..,
Nikutakie kila lakheiri katika kufanikisha hitaji lako...!!!
Namba zako za simu?Habari wana JF,
Natafuta kazi ya Kufanya yoyote iliyo HALALI ili kujikimu kimaisha.
Tafadhali mwenye kazi ama connection aniunganishe
Elimu: kidato cha sita
Umri: 25yrs
Mahali: Dar es salaam
Lugha: Kiswahili fasaha na Kiingereza
Naweza kutumia computer.
0767457577 bossNamba zako za simu?
0767457577 bosssNamba zako za simu?
Me boss... Sina ujuzi, ila naweza fanya kazi iitajiyo ujuzi chini ya usimamiziKe au me
Una ujuzi gani
Toa mwanga tupo wengiNicheki nitakupa mwanga