Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

Mida kama midabwaaaa kumbe midabwaksiiiii..

Sir Kama sir

mmagawa817@gmail.com

Take care son, "Mama" alikuamini lakini umeanza kupoteza "Majira".
Ni vyem mama kama Una nafasi uziweke hapa tuzipambanie lakini ikiwa short, inakatiza katika manung'uniko ya vijana hapa inaleta mtazamo tofauti. Anyways! Kuna mwingine hapa muhasibu nae hana CPA lakin
 
Ooho..

Sio Mimi, tuma kwenye hiyo email ni kampuni hiyo inahusika na mambo ya usimamizi wa majengo ya biashara hapo dsm.

Mie mlala hoi sina cha kukusaidia son maana hata Mimi nategemea msaada toka kwa Mungu.

Thanks
Nimetuma tayari na huyu wa uhaisb anatuma sasa
 
Kama kuna mwingine anipm,ila awe ni mdada akiwa from univ ni bora zaidi,iyo kampuni ni kubwa ila mishahara yao mbuzi,kwa mtu anayeanza na kusoma mazingira mengine ni bora zaidi
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.

Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.

Asante.

Dar es salaam (Makazi
 
Ngoja waje kukupa mwongozo.

Bonyeza alama ya kengele ili wakikujibu uwe updated

SUBSCRIBED 🔔
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.

Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.

Asante.

Dar es salaam (Makazi
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.

Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.

Asante.

Dar es salaam (Makazi
 
Habari wanaJF,

Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.

Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.

Asante.

Dar es salaam (Makazi

Hata ya nyumbani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom