Natafuta kazi yoyote. Nina Degree ya Finance

Jiunge ajira portal Kama unania kweli interview zako mbili au tatu utalamba asali inshallah
Ahsante kaka ila ajira portal nilijiunga sema kuna tatizo pale pakuupdate kwa kutumia NIN nilisahau email ya awali ndio inanipa shida mpaka niandike barua kwenda kwa wahusika
 
Nina umri wa miaka 30 naomba connection ya kazi Nina degree ya finance from udsm...bcom finance.

Naomba kazi yoyote NTAFANYA nimezunguka san ndugu ZANGU mtu yoyote ambae anaweza kunisaidia contact 0693392242
Njoo tuuze chips hapa @chipp chapp chipspoint google hlafu njoo whtsup SEMA unakipi Cha kui value kampuni yeti tarajiwa?0714045080 whatsup tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom