Ndugu Natafuta Kazi yoyote katika fani ya Finance

Alatwimika

Member
Jun 16, 2022
5
1
Kwa majina naitwa David William Lulambo mkazi wa Dodoma mhitimu wa degree ya Kwanza Chuo cha Mipango Dodoma katika fani ya Finance and Investment Planning.

Natafuta kazi yoyote katika fani hii ambaye anaweza nipatia au kama anajua connection naomba msaada please.

Mawasiliano
Email. lulambodavid23@gmail.com
Simu namba. 0614170003
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom