Natafuta kazi Mwanza, mwenye mchongo ani PM.....!

Natafuta kazi Mwanza, mwenye mchongo ani PM.....!

shuuuuu hebu tupishe huko,hatutaki wageni huko kutujazia jiji letu hatutaki mbanano kama huku kwenu,rudi haraka ukimaliza mizunguko yako.Kwanza umeshatufilisi tani ngapi za samaki toka umeenda huko tumekuchoka rudi kwenye vibua ndo size yako.
 
Mdada punguza ukali wa maneno... Hapa ndo kwanza kafika... Hafurikuti wala hatikisiki"!!!!!
 
Hii ndio 'Rock City', jioni zungukia pia Villa Park, Delux, Mwanza Hotel, corner ya CBE/PPF na kuleeee chini SAUT ukivuka tuta kubwa la udongo inapoishia lami, teremka kidooogo kama unaenda Luchelele, mkono wa kushoto weee paki tu gari usiku utaona utakavyozongwa. Ni kama Morogoro stores-O'bay, Leaders, Kinondoni mwembeni, Kino makaburini/muslim, ohio au maeda. Tembelea pia maeneo mithili ya uwanja wa fisi (manzese).
 
Hebu nambie koma!!! Ndo kusema ushanogewa na totoz za kisukuma???? Ndo maana siku mbili hizi.ulitutosa kumbe mtoto wa kisukuma alikaba mpaka penati lolest!!!!!

Chezeiya The Rock City wewe.....

Tema mate chini.....
 
Back
Top Bottom