CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
natafuta nauli i think august ntakuwa huko.
Ok mum ... kama vipi pitisha bakuli Chitchat!!!
natafuta nauli i think august ntakuwa huko.
Ok mum ... kama vipi pitisha bakuli Chitchat!!!
mweh wengine wataanza kuulizia papuchi,siku hizi hakuna vya bureeeeee wala vya bwelele maisha nmteremko yameshapitwa,ntapitisha bakuli nikikwama kabisaaaaaaaaa bt i don't think so.
mweh wengine wataanza kuulizia papuchi,siku hizi hakuna vya bureeeeee wala vya bwelele maisha nmteremko yameshapitwa,ntapitisha bakuli nikikwama kabisaaaaaaaaa bt i don't think so.
hahahahaha. Pigana mwaya
umeona eeeh
Du watu wanalinda papuchi zao siku hizi kama nuclear codes za Marekani!.mweh wengine wataanza kuulizia papuchi,siku hizi hakuna vya bureeeeee wala vya bwelele maisha nmteremko yameshapitwa,ntapitisha bakuli nikikwama kabisaaaaaaaaa bt i don't think so.
Daddy hebu fafanua.. Kuna mvuvi wa samaki na dagaa na mvuvi wa watu!!!
Miss you daddy......
Lile liliisha bana.... saiv ana kuku mmoja wa kienyeji bado mbichi ... kamkip busy acha kabisa ndo maana anaonekana jukwaani kimaxhale sana!!!
Teh teh...mchana awe anavua Sangara na Sato...halafu usiku ahamie kwa watu!!!
Daddy anakumisi sana douta wake pia....
mbona limeisha gafla mtakuwa mmemsaidia kufunika kombe....
Kama kuna kuku wa kienyeji watam hivyo na mimi nikitoa arachuga naunga tela huko huko niandalie makazi.. mamito
CC Zion Daughter usisome hapa
Usijali... Kisu chako tu. Kama ujuavyo Mwenye kisu kikali......