Natafuta kazi, nina degree ya Uhasibu na uzoefu wa u-cashier kwa miaka mitano

Mr Kajiru

New Member
Jan 13, 2023
2
2
Habari za leo ,Mimi nina degree ya uhasibu pia Nina uzoefu wa cashier kwa miaka 5. Pia nimeaomea udereva na uzoefu wa mwka mmoja nikiendesha bolt,naendesha auto na manual.nipo tayari kwa kazi yoyote inayoendana na taaluma zangu hapo juu, asanteni.

Call/WhatsApp 0789206013
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom