Natafuta kazi ya kufundisha

Natafuta kazi ya kufundisha

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Rejea kichwa cha habari... naomba mtu yeyote au muajiri aliepo humu JF naomba kazi ya kufundisha masomo ya English language, history na civic elimu yangu ni shahada ya ualimu...

Napatikana Mwanza - Ilemela...nipo tayari kwa usaili muda wowote iwe kwa mazungumzo au kwa vitendo..

Karibu Sana wakuu.. mtaani kugumu sana
 
Rejea kichwa cha habari...naomba mtu yeyote au muajiri aliepo humu jf naomba kazi ya kufundisha masomo ya English language, history na civic elimu yangu ni shahada ya ualimu...
Napatikana mwanza -ilemela...nipo tayari kwa usaili muda wowote iwe kwa mazungumzo au kwa vitendo..

Karbu Sana wakuu ..mtaani kugumu sana
Broo nakushauli kipindi unatafuta kazi Tafuta nafasi ya kujitolea shule yeyote ya serikali

Huku ukivizia mchongo wa kufundisha
 
Naombeni KAZI...au mwenye connection yeyote ya KAZI naomben
 
Approximate hii inaweza kuwa kama TSH 1,700,000 hii naweza fungua lango la nafaka
 
Back
Top Bottom