Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #301
th teh teeeeeeeeeeeeee, aleji sa saikolojia, lol!Afadhari kama umeliona hilo pacha wangu. Najua unakwepa kuniita dada kwa sababu ya shikamoo na hasa kwa ile aleji yako hata hivyo si mbaya tukiwa pacha hakuna shida.
Sasa Fixed Point unakubaliana na haya ya Kaizer kesha potezea kuhusu kukuita wewe dada na kukupa heshima yako na pia ameshamspoil MwanajamiiOne nae anataka kukuita best friend haya mie simo bwana.Hapa ndo utata unapokuja , ukimruhusu Kaizer kuwa bestb friend wako basi name natoka kwenye udogo naingia kwenye ubest friend...........nimegundua ukaidi mtamu
ha haaa, hapa wasipite wake zako wote wawili, ntapona kweli?
ha haaa, unawaweza wake azke lakini?
Ndo utulie shemeji yangu kipenzi @fixex point..hivi leo nina 3sum😛😛
kuna changa la macho hapa?
uliza mumeo Arushaone atakusimulia.....
ha haaa, malizia tu rafiki.....
kuwa dogo is not a crime unajua!
Umeona mdogo wangu KOKUTONA, huyu Fixed Point ni mbishi sana huyu...
Ila leo kaumbuka...akiona watu hatupigi pyepye sana, anadhani sote ni watoto wenzake....
Wenzie tumepigana hadi vita ya idd Amini ya 1972....wakati huo yeye hajazaliwa...lol!!
Babu DC!!
Afu umebadili jina na kuliweka kwa kirefu bila kunitaarifu, ntakumindi ujue...!!! ohoo...
Mmmh..!! kweli umezeeka aisee..., mimi vita ya Idi Amini niliyopigana ninayoíkumbuka ni ya 1978 nikiwa na akina Walden, kumbe kuna mliyopigana 1972...... !??
Mimi nina fifte kasoro, hamjambo? Wakubwa zangu shkamoooooooni na wadogo kwangu marahaaaaaaba!!
Umeona mdogo wangu KOKUTONA, huyu Fixed Point ni mbishi sana huyu...
Ila leo kaumbuka...akiona watu hatupigi pyepye sana, anadhani sote ni watoto wenzake....
Wenzie tumepigana hadi vita ya idd Amini ya 1972....wakati huo yeye hajazaliwa...lol!!
Babu DC!!