Hahahahahahahahahaa uuuuuuiiiiiiiii Mungu wangu tumbo langu yaani unapokea tu wewe hauitoi sio. Umenikumbusha mbali sana mwaka jana kuna mdada alikuja nyumbani kwetu kulikua na msiba . Mimi huwa siamkii mdada yeyote na hasa akiwa bonge. Huyo dada akaniambia mbona huniamkii nami nikamjibu nikamwambia hata mimi nashangaa kwanini wewe huniamkii, bwana aliponitajia umri nikamwabia samahani maana mimi wabonge huwa siwaaamkii kabisaa mpaka aniambie umri wake yaani hata awe na mtoto wa miaka 20 bado huwa nawagomea kutumia kigezo cha mtoto.
Hata mimi sijawahi kuionja my dear. Hasa kua na dada mwe na awe dada wa ukweli toka moyoni mwake akuthamini kama mdogo wake utapenda nahisi. Maana hata mimi huwa sina dada mimi ndio dada mkubwa. Kuna siku mpaka wifi yangu aliyeolewa na kakangu nilimlazimisha aniamkie tena nikalazimisha kabisa hasa kwa kumwambia yeye alipozaliwa mimi nilikua primary, yaani kua dada wakati mwingine unalewa kweli shikamoo.ndo maana mimi nimeamua kutafuta hapa rafiki, nahisi raha yake ingawa mimi sijawahi kui-experience.......
teh teh tehhhhh, hivi ninavyokuambia uamkie unafikiri natania?
Hahahaha sasa Lady doctor mbona unakua na mashaka rafiki mpe haki yake dear usiogopebado siamini ujue!!!!
ha haaa, mimi kwetu ni first born, zaidi ya baba na mama wengine wote walikuwa wananiamkia....Hahahahahahahahahaa uuuuuuiiiiiiiii Mungu wangu tumbo langu yaani unapokea tu wewe hauitoi sio. Umenikumbusha mbali sana mwaka jana kuna mdada alikuja nyumbani kwetu sasa kulikua na msiba . Mimi huwa siamkii mdada yeyote na hasa akiwa bonge. Huyo dada akaniambia mbona huniamkii nami nikamjibu nikamwambia hata mimi nashangaa kwanini wewe huniamkii, bwana aliponitajia umri nikamwabia samahani maana mimi wabonge huwa siwaaamkii kabisaa mpaka aniambie umri wake yaani hata awe na mtoto wa miaka 20 bado huwa nawagomea kutumia kigezo cha mtoto.
ha haaa, huyo ulimwonea, lol!Hata mimi sijawahi kuionja my dear. Hasa kua na dada mwe na awe dada wa ukweli toka moyoni mwake akuthamini kama mdogo wake utapenda nahisi. Maana hata mimi huwa sina dada mimi ndio dada mkubwa. Kuna siku mpaka wifi yangu aliyeolewa na kakangu nilimlazimisha aniamkie tena nikalazimisha kabisa hasa kwa kumwambia yeye alipozaliwa mimi nilikua primary, yaani kua dada wakati mwingine unalewa kweli shikamoo.
wewe endelea tu kujiuliza wenzio ndo tunasonga hivyo.....bado siamini ujue!!!!
Kusem ukweli uyu wifi yangu nilimlazimisha kuniamkia tokewa Enzi za uchumba wao maana mimi na kakangu ni mapacha wa nje sasa huwa simwamkii walijaribu sana kunilazimisha Enzi za utoto niliwakatalia kabisa hata yeye hakuidai maana nilikua najitetea ili mradi nisiamkie. Na ukumbuke tumesoma darasa moja primary kuanzia std 1 hadi 7. Kwa kweli hata mimi kuitoa huwa ngumu sana na huwa najisikia kama namtania mtu hivi. Nikuchekeshe matroni wangu analazimisha nimuite mama kwa kweli nilikataa na nikamwambia haiwezekani wewe ni shahidi lkn yeye ananilazimishha nimwite mama na shikamoo juu vyote nimekataa. Namuita dada tu lkn niliowasimamia mimi wananiita mama kwa hiari yao sijawahi kukataa wala kuwauliza. Uliposema unaitikia shikamoo ya wifi yako umenifurahisha sana mimi alikoolewa mdogo wangu wote wananiamkia na wananizidi umri sasa mdogo wangu ananiambia hawa wamekuzidi sana usishangae wanapokuamkia nami namwambia tena hata mumeo anabidi aniamkie maana amekua mdogo wangu. Chezea ukubwa weweha haaa, huyo ulimwonea, lol!
nina wifi yangu, mkubwa kuliko mimi ila ni mdogo kwa kakake, si eti ananiamkia, sababu kakake anamwamkia..... sasa utanikutaje ninapojipinda na hiyo marahaba yake..... wala siioneo aibu, naiitikia kama halali yangu, lol!
Naona Lady doctor anataka kupotezea bwana mkomalie akuamkie tu tena ingefaa awe anapiga na magotiwewe endelea tu kujiuliza wenzio ndo tunasonga hivyo.....
hebu mwamkie kwanza dadako MwanajamiiOne, lol!
Yaani we kukuita Da Mkubwa basi ushaanza kujihalalishia shikamoo kutoka kwangu.............. Haya am being honest to you hapa am 38 yrs old............... bado unaidai shikamoo toka kwangu?
Hahahaha sasa Lady doctor mbona unakua na mashaka rafiki mpe haki yake dear usiogope
ha haaaa, ukubwa raha sana......Kusem ukweli uyu wifi yangu nilimlazimisha kuniamkia tokewa Enzi za uchumba wao maana mimi na kakangu ni mapacha wa nje sasa huwa simwamkii walijaribu sana kunilazimisha Enzi za utoto niliwakatalia kabisa hata yeye hakuidai maana nilikua najitetea ili mradi nisiamkie. Na ukumbuke tumesoma darasa moja primary kuanzia std 1 hadi 7. Kwa kweli hata mimi kuitoa huwa ngumu sana na huwa najisikia kama namtania mtu hivi. Nikuchekeshe matroni wangu analazimisha nimuite mama kwa kweli nilikataa na nikamwambia haiwezekani wewe ni shahidi lkn yeye ananilazimishha nimwite mama na shikamoo juu vyote nimekataa. Namuita dada tu lkn niliowasimamia mimi wananiita mama kwa hiari yao sijawahi kukataa wala kuwauliza. Uliposema unaitikia shikamoo ya wifi yako umenifurahisha sana mimi alikoolewa mdogo wangu wote wananiamkia na wananizidi umri sasa mdogo wangu ananiambia hawa wamekuzidi sana usishangae wanapokuamkia nami namwambia tena hata mumeo anabidi aniamkie maana amekua mdogo wangu. Chezea ukubwa wewe
bora wewe rafiki yake umekuja you will Do Something......
Naona Lady doctor anataka kupotezea bwana mkomalie akuamkie tu tena ingefaa awe anapiga na magoti
ha haaa....
kule moshi sijui ni watani zetu? kakangu @vuta_nikuvute, moto2012 naomba mwongozo
hapa sitaki kumshirikisha snowhite maana akiona Nicas Mtei itakuwa noma.....
huko nasikia wazee wanawaamkia watoto wadogo sababu wana pesa, lol!
bora wewe rafiki yake umekuja you will Do Something......
hiyo salamu hapo naipokea na mimi..... marahabaaaa, hujambo?
ha haaa, mimi kwetu ni first born, zaidi ya baba na mama wengine wote walikuwa wananiamkia....
sasa si umeona allergy ilikotokea? yaani sijisikii vizuri kabisa ninapopaswa kumwamkia mtu kwa vile kanizidi umri.....
rafiki yangu pale home nilikuwa namwamkia, maana alikuwa rafiki wa kaka yangu. sasa mambo yalipogeuka nikawa najiuliza hii shikamoo iendelee? mmmmhhhhhh!!!!!! siku hizi akitaka kunitania utasikia "we mtoto tangu uache kuniamkia.........", yaani shikamoo kwangu ni majanga
Unaona umeanza kupokea misalamu kweli wakati mwingine lazima uipiganie haki yako maana haki zingine haziji kwa miujiza ni mpaka utoke ,ubishe na utafute. Hongera sana naona kimeeleweka isipokua Lady doctor bado ana mashaka hebu mtoe wasiwasi naona nae karibu anataka kuiachia .bora wewe rafiki yake umekuja you will Do Something......
hiyo salamu hapo naipokea na mimi..... marahabaaaa, hujambo?
wewe endelea tu kujiuliza wenzio ndo tunasonga hivyo.....
hebu mwamkie kwanza dadako MwanajamiiOne, lol!
Mpe shikamoo yake mkuu naona ulitoka nadhani ulikua unatafakari namna ya kuianza. Nadhani sasa ndio wakati muafaka mpe haki yake mkuu.Kumbe unajijua eeh!!! Kwamba shikamoo kwako ni majanga!!! Pole yako ππ