Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
- Thread starter
-
- #41
He hulali mama,mi mwenzio kazi yangu ulinzi...hahahaha
Hapo kwenye PM sikumaanisha wewe nilimaanisha niko
na mtafutaji aliyeanzisha mada hii...
itabidi ulete mrejesho hizo pm zenu zimefikia wapi.
Naona shem wangu paka mweusi waonyesha jitihada ushindwe na rehma za Mungu
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
Mkuu wacha niwapumzishe kaka,si unakumbuka kuwa hata wewe ulinikasirikiaga pale nilipoonyesha interesiti kwa beibe nasty..sasa ni wakati wenu wewe na ruttashobolwa kupumua ila nawaomba tu msiniharibie na hapa...
Mtakatifu, mi labda ulini'read opposite !
Sijawahi na sitowahi thereafter kukukasirikia wewe na mwingine awaye yoyote akiwa na interest na umsemae.
To be closed with someone is just a game!
Leo kwangu kesho kwako, nevertheless you're still interested , you just try seduce her again.
Coz mwenye maamuzi is the one who requistable .
Hata wakikuweka kidole kwenye mboni yako usemage hivyo hivyo.
Anatumia majina yake halisi.
Mtakatifu, mi labda ulini'read opposite !
Sijawahi na sitowahi thereafter kukukasirikia wewe na mwingine awaye yoyote akiwa na interest na umsemae.
To be closed with someone is just a game!
Leo kwangu kesho kwako, nevertheless you're still interested , you just try seduce her again.
Coz mwenye maamuzi is the one who requistable .
Nishindwe tena Shem,kwani hutaki kupumzika na vurugu zangu....
Sasa si ungem-pm mumeo mkawa mnaflirt humu? Itawaongezea hamasa sana. Unaflirt nae afu unamuambia kamalizie kwa mkeo ukiniwaza, wewe unakuwa hi na yeye pia maisha yanakuwa kama holloween!
kama wako twince humu je?? angalia..... vizuri..