Dodoma see dr Hinju yupo BMH, tho ana clinic town center st CammillusWasalam jf!!
Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)
Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital
Shukrani!
Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa maarufu hawakupi muda mwingi wa kukusikiliza.
Kuna wakati unaweza kupata ambaye bado hajawa na jina kubwa na ana wateja wachache akakupa attention nzuri sana.
Yani Ndio shida yao mm kuna mmoja alinipa appointment kila nikienda hayupo na huduma ya kumuona 30,000
Sasa kama tatizo ni la haraka si linaendelea kukua
Huyo Dr. Maembe hapo juu, anayo hiyo "care" ulioisema.Yes, huwa wanakuwa na muda kidogo sana kwa sababu wanakuwa na wagonjwa wengi.
Ukimpata mzuri anakupa namba yake, kiasi kwamba ukimhitaji unampigia anakwambia leo niko mahali fulani, unaweza kwenda kuonana naye huko hata kama siyo clinic yako.
Au kama kuna dharura anakwambia mkutane clinic husika, ila wa hivyo ni wachache sana.
Nakumbuka kulikuwa na mmoja alikuwa anafanya hivyo mwanzoni, baada ya kuwa maarufu hadi namba alibadili na alikuwa hatoi.
Mbona hamnijibu hao ndo wanahusika na nini..?Kwa Dodoma nenda DCMC Ntyuka kwa profesa.
Umeuliza wapi mkuu, anyways... ni bingwa wa magonjwa ya wanawake. (Specialist)Mbona hamnijibu hao ndo wanahusika na nini..?
Ningekuwa karibu nawe ningekukata banzi inamaana haujaona..😂Umeuliza wapi mkuu, anyways... ni bingwa wa magonjwa ya wanawake. (Specialist)
Sisi wakiume hatuna wataalum wetu au ndo tunaishi Kama wasindikizaji..?😅
Sisi wakiume hatuna wataalum wetu au ndo tunaishi Kama wasindikizaji..?😅
Yaonyesha we don't care tunaishi kwa yote kheri..😂Wapo mkuu, ingawa nadhani kwa nchi zetu siyo professional inayolipa au kutumika sana.
View attachment 1642076