Natafuta Gynecologist mzuri

Pisi kali

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,215
2,418
Wasalam jf!!

Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)

Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital

Shukrani!
 
Dodoma see dr Hinju yupo BMH, tho ana clinic town center st Cammillus
 
Dr. Maembe huyu anapatikana Dar Es Salaam clinic zake ni katika hospitali zifuatazo AAR Hospital new bagamoyo road, Msasani Hospital & Mwananyamala Hospital.
 
Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa maarufu hawakupi muda mwingi wa kukusikiliza.

Kuna wakati unaweza kupata ambaye bado hajawa na jina kubwa na ana wateja wachache akakupa attention nzuri sana.

Yani Ndio shida yao mm kuna mmoja alinipa appointment kila nikienda hayupo na huduma ya kumuona 30,000

Sasa kama tatizo ni la haraka si linaendelea kukua
 
Yes, huwa wanakuwa na muda kidogo sana kwa sababu wanakuwa na wagonjwa wengi.

Ukimpata mzuri anakupa namba yake, kiasi kwamba ukimhitaji unampigia anakwambia leo niko mahali fulani, unaweza kwenda kuonana naye huko hata kama siyo clinic yako.

Au kama kuna dharura anakwambia mkutane clinic husika, ila wa hivyo ni wachache sana.

Nakumbuka kulikuwa na mmoja alikuwa anafanya hivyo mwanzoni, baada ya kuwa maarufu hadi namba alibadili na alikuwa hatoi.
 
Huyo Dr. Maembe hapo juu, anayo hiyo "care" ulioisema.
 
Mbona hamnijibu hao ndo wanahusika na nini..?

Screenshot_20201205-111853~2.png
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom