Natafuta Gynecologist mzuri

Wasalam jf!!

Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)

Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital

Shukrani!
Unataka mtoto? au una tatizo jingine? tuanzie hapo kwanza
 
Nimeconceive...
Okay,nenda hapo Ilala sokoni oposite na jengo la Mwalimu house kuna polyclinic inaitwa Afya Time,.kuna specialist mmoja (jina silijui) alikiwa anapatikana hapo saa za jioni(Ila siyo kila siku) ukifika hapo utapewa ratiba yake.atakusaidia hasa kama ujauzito wako uko kwenye hatua za mwanzo mwanzo
 
Sawa asante dear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom